Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Humu ndani wote wazima japo umetukata stimuTuujuliane hali kwanza.
Habari zenu wote humu
Humu ndani wote wazima japo umetukata stimuTuujuliane hali kwanza.
Habari zenu wote humu
Stimu za nini tena?Humu ndani wote wazima japo umetukata stimu
Tena mwambie jakitoo mimi sina wengi. Haya zitamfikiaStimu za nini tena?
Zitamfikia jakitoo. Ila usisahau lisemwalo siku zote lipo.Tena mwambie jakitoo mimi sina wengi. Haya zitamfikia
Lipo wapi mimi nimeokoka etiZitamfikia jakitoo. Ila usisahau lisemwalo siku zote lipo.
Eti ukiokoka ndo inakuwajeLipo wapi mimi nimeokoka eti
Hainihusu hata mimi nimeuliza tu.Hiyo unayoizungumzia mimi hainihusu
Tumapaswa kumrudia muumbaHainihusu hata mimi nimeuliza tu.
Muumba aliye juu na ndiye mwenye kutupa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo.Tumapaswa kumrudia muumba
Ndogo ndogo hahah... hivi unakumbuka wimbo wa Jangalason kanyumba kadogo?Muumba aliye juu na ndiye mwenye kutupa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo.
Kadogo kako hakajambo!Ndogo ndogo hahah... hivi unakumbuka wimbo wa Jangalason kanyumba kadogo?
Hakajambo halafu ni ka kike. Najua mate yamekutoka Fataki mkubwa weweKadogo kako hakajambo!
kanyumba kadogo kama ulivofanya kwa binti niniliuuNdogo ndogo hahah... hivi unakumbuka wimbo wa Jangalason kanyumba kadogo?
Wewe una hasira sanaHakajambo halafu ni ka kike. Najua mate yamekutoka Fataki mkubwa wewe
Naniliuu kama namjua vile. Teh teh.kanyumba kadogo kama ulivofanya kwa binti niniliuu
Naniliuu yupi tena jakitoo? Wewe najua ni mdogo kanyumba kadogo huwezi kuujuakanyumba kadogo kama ulivofanya kwa binti niniliuu
wewe ndo fataki lililokomaaHakajambo halafu ni ka kike. Najua mate yamekutoka Fataki mkubwa wewe
