Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Mrembo wa kimachame, sijamjua badoKalin'goa yule mrembo wa kimachame
Jamii Forums mobile app
Mrembo wa kimachame, sijamjua badoKalin'goa yule mrembo wa kimachame
Bado upo nyuma kwa kupata taarifa humu ndani ndiyo maanaMrembo wa kimachame, sijamjua bado
Jamii Forums mobile app
Mrembo wa kimachame, sijamjua bado
Jamii Forums mobile app
Ndio maana simjui, muda wangu ni usikuBado upo nyuma kwa kupata taarifa humu ndani ndiyo maana
Mpalestina wa wapi jakitoo?bado nami sijamjua huyo mpalestina
Jakito anatuchanganyia habariMpalestina wa wapi jakitoo?
Habari gani tenaJakito anatuchanganyia habari
Anakupenda wewe au mimi maana kama ni kweli angeniambiaHabari za jakitoo utaziweza eti jana alinambia anakupenda
Angeniambia mapema ningeshakuambia unachopaswa ni kumrushia laki 3 mpesa tu tuanze kumwita shemejiAnakupenda wewe au mimi maana kama ni kweli angeniambia
Shemeji shemeji huku wazima taaAngeniambia mapema ningeshakuambia unachopaswa ni kumrushia laki 3 mpesa tu tuanze kumwita shemeji
Shemeji huyo hamtamuweza nyie tulieni nitawatafutia wifi mwingineAngeniambia mapema ningeshakuambia unachopaswa ni kumrushia laki 3 mpesa tu tuanze kumwita shemeji
Mwingine nani mbona mimi siwajuia wote humuShemeji huyo hamtamuweza nyie tulieni nitawatafutia wifi mwingine
Wote humu utatujua cha muhimu ni kuanza kutuma picha zakoMwingine nani mbona mimi siwajuia wote humu
Zako sijaziona, zitume kwanzaWote humu utatujua cha muhimu ni kuanza kutuma picha zako
Kwanza lazima uanze wewe mgeniZako sijaziona, zitume kwanza
Mgeni ni nani huyo mbona hajajitambulishaKwanza lazima uanze wewe mgeni
Hajajitambulisha mi pia nashangaa. Daby niliona sehemu unasema yule ndio mwenyewe. Msalimie bana.Mgeni ni nani huyo mbona hajajitambulisha
Bana daby huyu anao wengii acha tuuHajajitambulisha mi pia nashangaa. Daby niliona sehemu unasema yule ndio mwenyewe. Msalimie bana.
Tuujuliane hali kwanza.Bana daby huyu anao wengii acha tuu