Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,466
Mazingira hatarishiHawafugiki kisa ya mazingira
Mazingira hatarishiHawafugiki kisa ya mazingira
Hatarishi ni adui kwetuMazingira hatarishi
Kwetu ni kuzuri sidhani kama nitaishi milele huku nilikoHatarishi ni adui kwetu
Mkuu kakwoti vibayaSana umejichanganya sijui ndio ku edit. Ila nimekuelewa mkuu
Vibaya sana nimegundua ukitaka kutumia kitu usichojua jinsi kinavyotumikaMkuu kakwoti vibaya
Kakwoti vibaya ila kajisumbua ku delete wakati tulishamuelewa sieMkuu kakwoti vibaya
Sie tujawajua wote wanaojichochaKakwoti vibaya ila kajisumbua ku delete wakati tulishamuelewa sie
Sie ni waungwana sana hapa kwenye uzi wetu, lakini watu wanapotea kwa muda mrefu kama WambuziKakwoti vibaya ila kajisumbua ku delete wakati tulishamuelewa sie
wanaojichocha!!!? daby umekunywa nn mapema hiiSie tujawajua wote wanaojichocha
Hii lugha ya Wakenya jakitoo kujichocha ni kujifaraguzawanaojichocha!!!? daby umekunywa nn mapema hii
kujifaraguza hapo sawa nlikuwa nshaanza kuanza kujiuliza maswaliHii lugha ya Wakenya jakitoo kujichocha ni kujifaraguza
Maswali yako ni mbogakujifaraguza hapo sawa nlikuwa nshaanza kuanza kujiuliza maswali
mboga! kuna watu humu siwaoni sikuhiziMaswali yako ni mboga
Siku hizi nimeadimika sana kwenye huu uzimboga! kuna watu humu siwaoni sikuhizi
Unazidi kunoga sana. Ila ukiona hivi jua majukwaani hakuna vya maanaUzi unazidi kunoga
Jamii Forums mobile app
Maana ya jukwaa ni nini?Unazidi kunoga sana. Ila ukiona hivi jua majukwaani hakuna vya maana