Neni zao ni za hekima kumbe. Hivyo wewe sio muhenga.Muhenga ni mneni vilevile. Yaani wale watu wa nyuma huko 50 kweusi, walo na hekima katika neni zao.
Muhenga ni mtu mzima ambaye hana helaa..Neni zao ni za hekima kumbe. Hivyo wewe sio muhenga.
Helaa ni nyimbo ya mwisho ya madee
Madee wa tip top connection. Hivyo nami sina hela kwa sababu ni muhenga tayari.Helaa ni nyimbo ya mwisho ya madee
Tayari wahenga wote tunajijua wewe kwenye list yetu haupoMadee wa tip top connection. Hivyo nami sina hela kwa sababu ni muhenga tayari.
Tayari na wewe ushakuwa muhenga saa hii kweli emmyta wanguMadee wa tip top connection. Hivyo nami sina hela kwa sababu ni muhenga tayari.
Wangu najiona nshakuwa muhenga tayari eti.Tayari na wewe ushakuwa muhenga saa hii kweli emmyta wangu
Wangu najiona nshakuwa muhenga tayari eti.
Miaka mingapi? Hata sijui ndio mana niliuliza mwanzo.Eti wahenga ni kuanzia Maiaka Mingap??
Mwanzo upi? Au unamaanisha kitabu cha mwanzo kinachohusu uumbaji wa dunia?Miaka mingapi? Hata sijui ndio mana niliuliza mwanzo.
Dunia tambara bovuMwanzo upi? Au unamaanisha kitabu cha mwanzo kinachohusu uumbaji wa dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bovu jumba walimuangushia Mac DDunia tambara bovu
Mac D ndo nani tenaBovu jumba walimuangushia Mac D
Tena inaonesha ninyi mlikuwa hamsikilizi mziki wa kufokafoka enzi za wahenga. Mac D ni msanii aliyeimba wimbo wa jumba bovu.Mac D ndo nani tena
Bovu lilishan'gookaTena inaonesha ninyi mlikuwa hamsikilizi mziki wa kufokafoka enzi za wahenga. Mac D ni msanii aliyeimba wimbo wa jumba bovu.
Lilishang'oka nani kaling'oaBovu lilishan'gooka
Kalin'goa yule mrembo wa kimachameLilishang'oka nani kaling'oa
Jamii Forums mobile app