Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Saa kumi na mbili nitakuwa nishafika ofisini na kuanza kufanya usafiLeo pia nami ntafanya maandalizi ila nasubiri ifike saa kumi na mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa kumi na mbili nitakuwa nishafika ofisini na kuanza kufanya usafiLeo pia nami ntafanya maandalizi ila nasubiri ifike saa kumi na mbili.
Jamani nshaamka bado kushuka tu.Saa kumi na mbili i karibu, ni kasori dakika takribani 8 tu. Anza kuamka jamani....
Pilika za hapa na pale hutusaidia kutafuta, kujua, kupata, na kutunza vingi kama si kiasi.
Bado kushuka tu! Hahaha au baridi, mimi ndio naingia kuoga.Jamani nshaamka bado kushuka tu.
Kuoga nitaoga japokuwa kuna kabaridi kwa mbali.Bado kushuka tu! Hahaha au baridi, mimi ndio naingia kuoga.
Kwa mbali kweli kuna kabaridi ila maji ni ya uvuguvugu kimtindo.Kuoga nitaoga japokuwa kuna kabaridi kwa mbali.
Kimtindo ngoja nijiandae baadae basiKwa mbali kweli kuna kabaridi ila maji ni ya uvuguvugu kimtindo.
Basi poa emmy, uwe na maandalizi mema, kazi njema, na siku njema pia. Nitatokelezea kilingeni humu baadae sana.Kimtindo ngoja nijiandae baadae basi
Wote humu mnapost bado asubuhi sana, nina mashaka kuna watu hawajalala.Basi poa emmy, uwe na maandalizi mema, kazi njema, na siku njema pia. Nitatokelezea kilingeni humu baadae sana.
Wasalim wana kilinge wote.
Tusipuuzie pale unaposikia jambo fulani inabidi ulifanyie uchunguziWote humu mnapost bado asubuhi sana, nina mashaka kuna watu hawajalala.
Usingizi ni Afya tusiupuzie
Uchunguzi wa kesi ya lulu umeishia wapi? Mahakama zetu zina upendeleo angekua maskin au mtu maarufu muda wote huu angekua jela.Tusipuuzie pale unaposikia jambo fulani inabidi ulifanyie uchunguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jela ni sehemu ambayo watu wanaohukumiwa hupelekwa kutumikia hukumu za makosa yaoUchunguzi wa kesi ya lulu umeishia wapi? Mahakama zetu zina upendeleo angekua maskin au mtu maarufu muda wote huu angekua jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jela ipi keko au Segerea?Uchunguzi wa kesi ya lulu umeishia wapi? Mahakama zetu zina upendeleo angekua maskin au mtu maarufu muda wote huu angekua jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashamba ya ujamaa siku hizi siyasikii, sijui yashauzwa!Jela haina mwenyewe kwani Mimi au wewe unaweza kwenda kesho, ndio maana mkuu kasema hata yeye akienda ayakute mashamba.
papaa maglass
Yashauzwa kitambo watu wanatafuna keki Ya taifa taratibuMashamba ya ujamaa siku hizi siyasikii, sijui yashauzwa!
Taratiibu Magu atayarudisha hayo mashamba ya ujamaa.Yashauzwa kitambo watu wanatafuna keki Ya taifa taratibu
Mashamba ya ujamaa yakirudishwa watakaofaidika nayo ni wale wateule wa kanda ya ziwaTaratiibu Magu atayarudisha hayo mashamba ya ujamaa.
papaa maglass
Wetu..wew na nani!??leo nimekuwa wa kwanza kupost katika huu uzi wetu
Wanaochangia humu.Nani? Wote wanaochangia.
basi sawa