Nzuri zile zawad ulonipa janaAKUDO IMPACT hivi ndiyo wazee wa mapikipiki eeeenh! Maana sina kumbukumbuku nzuri
Nzuri zile zawad ulonipa janaAKUDO IMPACT hivi ndiyo wazee wa mapikipiki eeeenh! Maana sina kumbukumbuku nzuri
Jana ni siku niliyochoka sanaNzuri zile zawad ulonipa jana
Niliyochoka sana kwa sababu ya kubeba magunia ya mkaaJana ni siku niliyochoka sana
Mkaa umepigwa marufuku kuuzwa na serikaliNiliyochoka sana kwa sababu ya kubeba magunia ya mkaa
Serikali inataka kuimarisha matumizi ya gesiMkaa umepigwa marufuku kuuzwa na serikali
Gesi ya oxygen ndiyo inayo msaidia mgonjwa wetu kupumuaSerikali inataka kuimarisha matumizi ya gesi
Kupumua kwa binadamu ndio kila kituGesi ya oxygen ndiyo inayo msaidia mgonjwa wetu kupumua
Kitu kibaya kwa watawala wetu ni kuzuia kuuzwa kwa mkaa, kulazimisha kutumia gesi wakati bibi yangu kule Lusala hata hajui hiyo gesi ndio nini, na mtungi unafananaje!Kupumua kwa binadamu ndio kila kitu
Unafananaje God Heals huwa nahisi kama we ni kibonge kama hiyo avatar yako.Kitu kibaya kwa watawala wetu ni kuzuia kuuzwa kwa mkaa, kulazimisha kutumia gesi wakati bibi yangu kule Lusala hata hajui hiyo gesi ndio nini, na mtungi unafananaje!
Hicho kitu kimoja, basi nakuachia wewe uendelee kukitafakari, na zaidi kinahusu muonekano wa nje, ila hakihusiani na umbo.Emmyta ye kafanana na avatar yake. Enhe niambie hicho kitu kimoja basi..
Umbo lipp tofauti kumbe. Haya ngoja nijipe mtihani ila nitakupa jibu siku moja.Hicho kitu kimoja, basi nakuachia wewe uendelee kukitafakari, na zaidi kinahusu muonekano wa nje, ila hakihusiani na umbo.
Siku moja ukinipa jibu nami nitakujazilizia.Umbo lipp tofauti kumbe. Haya ngoja nijipe mtihani ila nitakupa jibu siku moja.
Salama salmini nimemka sijui wewe.Siku moja ukinipa jibu nami nitakujazilizia.
Na kama unafanana na avatar yako, basi ni nzuri zaidi.
Vipi lakini. Umeamka salama
Wewe ulivyoamka nami vivyo hivyo. Nmeamka salama kiukweli nipo kwenye maandalizi ya pirika za siku ya leo.Salama salmini nimemka sijui wewe.
Leo pia nami ntafanya maandalizi ila nasubiri ifike saa kumi na mbili.Wewe ulivyoamka nami vivyo hivyo. Nmeamka salama kiukweli nipo kwenye maandalizi ya pirika za siku ya leo.
Leo siku yangu itakuwa na pilika pilika za hapa na paleWewe ulivyoamka nami vivyo hivyo. Nmeamka salama kiukweli nipo kwenye maandalizi ya pirika za siku ya leo.
Saa kumi na mbili i karibu, ni kasori dakika takribani 8 tu. Anza kuamka jamani....Leo pia nami ntafanya maandalizi ila nasubiri ifike saa kumi na mbili.