Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Sawa lakini usinichunie hivyoWanaochangia humu.basi sawa
Sawa lakini usinichunie hivyoWanaochangia humu.basi sawa
Hivyo sawa jamani. Nisamehe my rafiki. Mzima weye?Sawa lakini usinichunie hivyo
Weye pia mzima ? Habari za kupotea kwa muda mfupi?Hivyo sawa jamani. Nisamehe my rafiki. Mzima weye?
Muda mfupi nilikuwa na vimajukumu ila sasa nipo nimesharudi. Mzima?Weye pia mzima ? Habari za kupotea kwa muda mfupi?
mzima kabisaa...namshukuru Mungu.Muda mfupi nilikuwa na vimajukumu ila sasa nipo nimesharudi. Mzima?
Namshukuru mungu nami pia kwa kunipa uzima wa afya.mzima kabisaa...namshukuru Mungu.
Afya ndo msingi wa kila kitu vingine vitajiseti taratibu tuuNamshukuru mungu nami pia kwa kunipa uzima wa afya.
Tuungane kwa pamoja katika kuleta maendeleo ya Nchi yetuAfya ndo msingi wa kila kitu vingine vitajiseti taratibu tuu
Nchi yetu inapenda kuzalisha kina bashite kwa wingiTuungane kwa pamoja katika kuleta maendeleo ya Nchi yetu
Wingi wa maneno haushindi vitendoNchi yetu inapenda kuzalisha kina bashite kwa wingi
Vitendo ndio humaanisha sana tena kwa haraka.Wingi wa maneno haushindi vitendo
Wateule wa kanda ya ziwa ndio kinanani?Mashamba ya ujamaa yakirudishwa watakaofaidika nayo ni wale wateule wa kanda ya ziwa
Kiswahili kinazidi kupoteaKinanani!!!
Hilo neno sijaliewa, labda ni msamiati mpya kwenye lugha ya Kiswahili.
Kupotea njia ndiko kujua njiaKiswahili kinazidi kupotea
Chatokomea kusikojulikana kile kimwanamke kilichoanguka barabarani na ungo.Njia yakwenda chato.
papaa maglass
Ungo kamwe sijawahi kuona ukiwa anganiChatokomea kusikojulikana kile kimwanamke kilichoanguka barabarani na ungo.
Angani wakati wa usiku kukiwa hakuna mawingu kunapendeza.Ungo kamwe sijawahi kuona ukiwa angani