mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Kunapendeza sana hasa kukiwa kuna mg'ao wa mbalamweziAngani wakati wa usiku kukiwa hakuna mawingu kunapendeza.
Kunapendeza sana hasa kukiwa kuna mg'ao wa mbalamweziAngani wakati wa usiku kukiwa hakuna mawingu kunapendeza.
Mbalamwezi hupendezesha sana usikuuKunapendeza sana hasa kukiwa kuna mg'ao wa mbalamwezi
Usiku ukishaisha yatupasa kuamka ili kutafuta mkate wetu wa kila siku.
Kila siku nipo jf kwenye huu uziUsiku ukishaisha yatupasa kuamka ili kutafuta mkate wetu wa kila siku.
Huu uzi nishakubali ww ndio uwe mshindiKila siku nipo jf kwenye huu uzi
Mshindi atapatikana hapa hapa JF na siyo mezaniHuu uzi nishakubali ww ndio uwe mshindi
Mezani ndio kitandani kwanguMshindi atapatikana hapa hapa JF na siyo mezani
Kwangu bado sidhani kama mshindi kishapatikana kwa urahisiMezani ndio kitandani kwangu
Nyingine ipi kama uliishampa uliyokuwa nayo!Wambuzi natamani nimuone hewani nimpe japo like nyingine.
Nayo hiyo moja ni ya kwenye huu uziNyingine ipi kama uliishampa uliyokuwa nayo!
Uzi huu (Wa mwisho ndiyo mshindi) bado una safari ndefuNayo hiyo moja ni ya kwenye huu uzi
Ndefu sanaUzi huu (Wa mwisho ndiyo mshindi) bado una safari ndefu
Sana kama nini, waweza kadiria!Ndefu sana
Kadiria wewe tu bana itatoshaSana kama nini, waweza kadiria!
Itatosha ikivaliwa na mtoto wangu, ila mimi haitanisitiri.Kadiria wewe tu bana itatosha
Haitanistiri mi piaItatosha ikivaliwa na mtoto wangu, ila mimi haitanisitiri.
Pia nitakapomaliza kazi nitapitia kwakoHaitanistiri mi pia