kichemkubwa
Member
- Nov 4, 2015
- 14
- 5
Darasa la saba wanafanya mitihani yao mwezi wa tisaMitihani mingi iko darasa la saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la saba wanafanya mitihani yao mwezi wa tisaMitihani mingi iko darasa la saba
Kumbuka pia kila namba ina uzito tofauti
Tofauti yangu na yako ni kubwaKumbuka pia kila namba ina uzito tofauti
Kubwa kuliko zote ndo itanifaa mimiTofauti yangu na yako ni kubwa
Mimi sijaribiwiKubwa kuliko zote ndo itanifaa mimi
Sijaribiwi wala sipangiwiMimi sijaribiwi
Sipangiwi nini cha kufanya mi piaSijaribiwi wala sipangiwi
Pia ujue nimekumiss shostii anguSipangiwi nini cha kufanya mi pia
Pia una uhuru but not to that extentSipangiwi nini cha kufanya mi pia
.. extent that we don't hurt each other, jakitoo upo? Tulikumiss hadi tunaumwa!!Pia una uhuru but not to that extent
Mwambieni bado namkumbuka mpaka leo.. extent that we don't hurt each other, jakitoo upo? Tulikumiss hadi tunaumwa!!
Tunaumwa kama taifa lakini mpaka leo dawa ni hadithi za maziwa kwa vifaranga vya kuku... extent that we don't hurt each other, jakitoo upo? Tulikumiss hadi tunaumwa!!
Kuku wa kisasa kumchinjaa faster tu kama demu akija getooTunaumwa kama taifa lakini mpaka leo dawa ni hadithi za maziwa kwa vifaranga vya kuku.
Gheto kids unawajua?
Unawajua wale kuku wanaowika umeme tu unaporudi baada ya kukatika?Gheto kids unawajua?
Kukatika? Naona mkuu unapenda sana kukatika!Unawajua wale kuku wanaowika umeme tu unaporudi baada ya kukatika?
Kukatika tena! Hahahaha huwa sipendi, ila huwa napenda kiasi kuwaona wanavyokatika
Wanavyokatika km dancers wa AKUDOKukatika tena! Hahahaha huwa sipendi, ila huwa napenda kiasi kuwaona wanavyokatika
AKUDO IMPACT hivi ndiyo wazee wa mapikipiki eeeenh! Maana sina kumbukumbuku nzuriWanavyokatika km dancers wa AKUDO