BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
JF tu wewe roho yako nyeupeee! Sasa unakosaje kuingia hapa wakati JF hailali Mkuu?
Thatsit ndio mpweke hasa akikosa kuingia jf
Thatsit ndio mpweke hasa akikosa kuingia jf
Andishi na simulizi zote ni fasihifasihi andishi
Fisihi ni kioo.Andishi na simulizi zote ni fasihi
Kioo hakidanganyiFisihi ni kioo.
Kioo hakidanganyi
kalumekenge!!jakitoo mwenye avatar kama picha za Kalumekenge
wewe bbc weweWewe jakitoo usiku mwemakalumekenge!!![]()
![]()
![]()
wewe bbc wewe
Usiku mwema na kwako pia sisi bado tupo macho mida ya wangaWewe jakitoo usiku mwema
Wanga sio wotee wengine tupo na wakee zetuu...kazi kaziiiUsiku mwema na kwako pia sisi bado tupo macho mida ya wanga
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Wanga! Humu hakuna wanga wanaoweza kuvamia jukwa la jamiiUsiku mwema na kwako pia sisi bado tupo macho mida ya wanga
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Jamii ya wana Wa JF wamepumzika muda huu mpaka kutakapokuchaWanga! Humu hakuna wanga wanaoweza kuvamia jukwa la jamii
Kutakapokucha wataenda kaziniJamii ya wana Wa JF wamepumzika muda huu mpaka kutakapokucha
Kazini hakueleweki ... swahiba nimekumissKutakapokucha wataenda kazini
Nimekumiss sana kipenz changu cha muda wote. Nazikumbuka sana, na kuzienzi nasaha zako.Kazini hakueleweki ... swahiba nimekumiss
Swahiba nimekumiss,hata mimi nimekumiss pia japo dah..Kazini hakueleweki ... swahiba nimekumiss
Mitihani mingi iko darasa la saba