Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Ukakasi kwani umekula dengu?Sana tu kwa kweli wanawake hutumia sana neno hilo(wangu) ambalo mimi hunipa ukakasi
Ukakasi kwani umekula dengu?Sana tu kwa kweli wanawake hutumia sana neno hilo(wangu) ambalo mimi hunipa ukakasi
Ukakasi kwanin?Sana tu kwa kweli wanawake hutumia sana neno hilo(wangu) ambalo mimi hunipa ukakasi
Ukakasi...pole wamesha zoea kutukia neno "wangu" hasa while chartingSana tu kwa kweli wanawake hutumia sana neno hilo(wangu) ambalo mimi hunipa ukakasi
Kwa nini hawalitoshelezi neno? Maana leo wataanza nambie wangu, mwengin akimaanisha mme wangu na mifanano hiyo kwa ishara+vitendoUkakasi kwanin?
Vitendo na ishara na maneno hivi ndo wanasema speech act au ?Kwa nini hawalitoshelezi neno? Maana leo wataanza nambie wangu, mwengin akimaanisha mme wangu na mifanano hiyo kwa ishara+vitendo
Au sio tendo uneni?Vitendo na ishara na maneno hivi ndo wanasema speech act au ?
Uneni mzuri ni ule wa waneniAu sio tendo uneni?
Tendo uneni yah its perfetc tlanslation I hopeAu sio tendo uneni?
Hope you are doing well!!Tendo uneni yah its perfetc tlanslation I hope
Well, now you're hereHope you are doing well!!
Well enough you have come so quickly....karibuHope you are doing well!!
Karibu na ww, niko hapa naenjoy na uzi wa Wambuzi, katuachia janga kasepaWell enough you have come so quickly....karibu
Kasepa na wanawe kamwacha mmeKaribu na ww, niko hapa naenjoy na uzi wa Wambuzi, katuachia janga kasepa
Mme mpwekeKasepa na wanawe kamwacha mme
Shuleni nilikuwa napenda muda wa mapumziko tu ili nikale mabumunda.
Thatsit ndio mpweke hasa akikosa kuingia jf
JF Jifunze fasihiThatsit ndio mpweke hasa akikosa kuingia jf
kwanini unauliza?Ukakasi kwanin?
fasihi andishiJF Fifunze fasihi