Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Umri huu tulio nao tunajua baya na zuriHaiwezwkani kuoangiwa cha kufanya ktk umri huu
Umri huu tulio nao tunajua baya na zuriHaiwezwkani kuoangiwa cha kufanya ktk umri huu
Zuri zaidi kumbe akili ni nywele kila mtu ana zake, TafakariUmri huu tulio nao tunajua baya na zuri
uzi huu umenifanya nisiwe bored in jfTafakari kwa makini kabla ya kuchangia katika huu uzi
Jf haijawahi kumuacha mtu salama. Uko kama mimi aisee ndio mana saa nyingine huwa naweka kambi humu.uzi huu umenifanya nisiwe bored in jf
humu bora sana, kule kwingine my sister hapafai, ukibishana na mpumbavu atakuzidi kwa uzoefu wake wa upumabavu kaa mbali na mtu mpumbavuJf haijawahi kumuacha mtu salama. Uko kama mimi aisee ndio mana saa nyingine huwa naweka kambi humu.
Mtu mpumbavu hatokaa aelimika kamwe. Ni heri ya mjinga kuliko mpumbavu.humu bora sana, kule kwingine my sister hapafai, ukibishana na mpumbavu atakuzidi kwa uzoefu wake wa upumabavu kaa mbali na mtu mpumbavu
Bandugu wazima wa afya sijui kwako?Mtu mpumbavu hatokaa aelimika kamwe. Ni heri ya mjinga kuliko mpumbavu.
Asalaam bandugu....
bandugu tuko ok hoping uko poa kabisaMtu mpumbavu hatokaa aelimika kamwe. Ni heri ya mjinga kuliko mpumbavu.
Asalaam bandugu....
Kabisa yani ndio maana npo mahali hapa kujuzana chochote kitu na ndugu zangubandugu tuko ok hoping uko poa kabisa
Zangu salamu ziwafkie wote ingawa sijamwona thatsitKabisa yani ndio maana npo mahali hapa kujuzana chochote kitu na ndugu zangu
Magharibi mwa TanzaniaThatsit ztamfikia pia, labda now yupo kwenye sala ya magharibi
Tanzania ni nchi inayopatikana mashariki mwa bara la AfrikaMagharibi mwa Tanzania
Tanzania tanzania niliimba sana shuleniMagharibi mwa Tanzania
Shuleni nilipenda somo la stadi za kaziTanzania tanzania niliimba sana shuleni

Shuleni nilikuwa napenda muda wa mapumziko tu ili nikale mabumunda.Tanzania tanzania niliimba sana shuleni
Shuleni sikuwahi kubahatika kuwa na mahusiano mabaya na washirika wanguTanzania tanzania niliimba sana shuleni
Wangu ni neno wanalotumia wanawake sanaShuleni sikuwahi kubahatika kuwa na mahusiano mabaya na washirika wangu
Wangu mimi walikuwa wagomvi sanaShuleni sikuwahi kubahatika kuwa na mahusiano mabaya na washirika wangu
Sana tu kwa kweli wanawake hutumia sana neno hilo(wangu) ambalo mimi hunipa ukakasiWangu mimi walikuwa wagomvi sana