Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Zawadi sio muhimu kivile kama ujio wetutumemsaliti kwa kutokwenda tu na zawadi ?
Post sent using JamiiForums mobile app
Zawadi sio muhimu kivile kama ujio wetutumemsaliti kwa kutokwenda tu na zawadi ?
Wetu walaka ulimfanya abadili mwenendo wakeZawadi sio muhimu kivile kama ujio wetu
Post sent using JamiiForums mobile app
Mwenendo wake unatutia mashakaWetu walaka ulimfanya abadili mwenendo wake
Mashaka gani haya, mwaka huu mitihani tuu mpk nishachokaMwenendo wake unatutia mashaka
Nishachoka na siasa za kiafrika ni muda wa mabadiliko ya kweli na ya haki yana hitajika.Mashaka gani haya, mwaka huu mitihani tuu mpk nishachoka
Yanahitajika mawazo yako katika mabadiliko unayoyataka, ukilalamika hatutafikia popote itakua nchi ya walalamikajiNishachoka na siasa za kiafrika ni muda wa mabadiliko ya kweli na ya haki yana hitajika.
Walalamikaji hawakosekani kila sehemu lazima wawepo.Yanahitajika mawazo yako katika mabadiliko unayoyataka, ukilalamika hatutafikia popote itakua nchi ya walalamikaji
Wawepo ili kuchangamsha baadhi ya mamboWalalamikaji hawakosekani kila sehemu lazima wawepo.
Mambo vipi humu salama kweli mbona kumepoa hivi?...Wawepo ili kuchangamsha baadhi ya mambo
Hivi aliyekwambia kumepoa ni nani?Mambo vipi humu salama kweli mbona kumepoa hivi?...
Ni nani aombwaye samaki na mwanawake, kisha akampa nyoka?Hivi aliyekwambia kumepoa ni nani?
Nyoka wa makengezaNi nani aombwaye samaki na mwanawake, kisha akampa nyoka?
Makengeza yake yalimafanya apendwe na watu wengiNyoka wa makengeza
Wengi wenu hamjawahi kujua ukweli.Makengeza yake yalimafanya apendwe na watu wengi
Post sent using JamiiForums mobile app
Ukweli mimi ndiyo mshindi!Wengi wenu hamjawahi kujua ukweli.
Mshindi ni wa mwisho kupostUkweli mimi ndiyo mshindi!
Post sent using JamiiForums mobile app
Wa mwisho kupost nitamtembelea wikiendi ijayoMshindi ni wa mwisho kupost
Post sent using JamiiForums mobile app
Ijayo ni jina la mdogo angu.Wa mwisho kupost nitamtembelea wikiendi ijayo
Mdogo angu amemtembelea bibi huko kijijini kwetuIjayo ni jina la mdogo angu.
post sent using iPhone 7s
Kwetu ya rayvan ni ngoma kali kinyamaMdogo angu amemtembelea bibi huko kijijini kwetu