Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Ndani ya jf kuna watu wa kila ainaWaligombana kwa sababu walichokitarajia sicho walichokikuta ndani
Ndani ya jf kuna watu wa kila ainaWaligombana kwa sababu walichokitarajia sicho walichokikuta ndani
Waligombana mpaka wakafikia hatua ya kupelekana kituo cha polisiTukachangia kisha tukawapa hongera lakini mwisho wa siku waligombana
Kutulinda sio mitaani tu hadi kibiti piaPolisi kazi Yao ni kutulinda
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Mungu wangu! Inamaana haujaona nimeshamqoute hapo juuKutulinda ni kazi ya Mungu
Pia kibiti wanaweza kutulinda lakini si kwa polisi hawa wa kibongoKutulinda sio mitaani tu hadi kibiti pia
Kibongo bongo tunalindwa na sir God tuPia kibiti wanaweza kutulinda lakini si kwa polisi hawa wa kibongo
Tutarudi na roho zetu.Kibongo bongo tunalindwa na sir God tu
Zetu fikra na mawazo zinawaza hali ya hewaTutarudi na roho zetu.
Hali ya hewa ya Arusha iko bombaa sana kama bustani ya edeniZetu fikra na mawazo zinawaza hali ya hewa
Bustani ya edeni iko wapi hiyoHali ya hewa ya Arusha iko bombaa sana kama bustani ya edeni
Wapi hiyo ,Iko pande za mashariki ya katiBustani ya edeni iko wapi hiyo
Mashariki na kati kumbe, nimeshaelewa sasa.Wapi hiyo ,Iko pande za mashariki ya kati
Sasa ni zamu yako kuwa mdogo kwanguMashariki na kati kumbe, nimeshaelewa sasa.
Kwangu mie sio mbaya. Hahaaa. Haya banaSasa ni zamu yako kuwa mdogo kwangu
Haya bhana mdogo wangu umenifurahisha sana leoKwangu mie sio mbaya. Hahaaa. Haya bana
Leo ni jumamosi ya katikati ya mwezi.....Haya bhana mdogo wangu umenifurahisha sana leo
Mwezi wa saba unaenda kasi sana.Leo ni jumamosi ya katikati ya mwezi.....
Unaenda kasi sana ili tuufikie wa nane, tisa, kumi, na hatimaye mwaka uisheMwezi wa saba unaenda kasi sana.