Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,485
Uishe tu ila kwa jinsi ulivyokuwa mgumu ni wachache watakaokuwa wamefikia malengo waliyoyapanga mwanzo wa mwaka.Unaenda kasi sana ili tuufikie wa nane, tisa, kumi, na hatimaye mwaka uishe
Uishe tu ila kwa jinsi ulivyokuwa mgumu ni wachache watakaokuwa wamefikia malengo waliyoyapanga mwanzo wa mwaka.Unaenda kasi sana ili tuufikie wa nane, tisa, kumi, na hatimaye mwaka uishe
Mwanzo wa mwaka nilipanga mwisho wa mwaka nimvishe mtu jongoo, ila mambo yamekataa.Uishe tu ila kwa jinsi ulivyokuwa mgumu ni wachache watakaokuwa wamefikia malengo waliyoyapanga mwanzo wa mwaka.
Mambo yamekataa aisee sio uongo. Haya nidadavulie kumvisha mtu jongoo ndio nini?Mwanzo wa mwaka nilipanga mwisho wa mwaka nimvishe mtu jongoo, ila mambo yamekataa.
Ndio nini tena jamani kutokujua kumvisha mtu jongoo, ni pete emmy jamaniMambo yamekataa aisee sio uongo. Haya nidadavulie kumvisha mtu jongoo ndio nini?
Jamani usimshangae emmy hivyo. Hajui bana. Jitahidi basi mwakani iwe hivyo ila nami nitafurahi ukinialika.Ndio nini tena jamani kutokujua kumvisha mtu jongoo, ni pete emmy jamani
"Nitafurahi ukinialika kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanao"Jamani usimshangae emmy hivyo. Hajui bana. Jitahidi basi mwakani iwe hivyo ila nami nitafurahi ukinialika.
akisema muende na zawadi, mtaweza kwenda ?"Nitafurahi ukinialika kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanao"
Alisikika bintiye akisema....
Kwenda lazima twende nazo vinginevyo tutakuwa tumemsalitiakisema muende na zawadi, mtaweza kwenda ?
tumemsaliti kwa kutokwenda tu na zawadi ?Kwenda lazima twende nazo vinginevyo tutakuwa tumemsaliti
Zawadi yangu nitakupa wewe mrembo utakayeniqoute hapa chinitumemsaliti kwa kutokwenda tu na zawadi ?
Chini hakuna mrembo kuna kidume cha MbeguZawadi yangu nitakupa wewe mrembo utakayeniqoute hapa chini
Mbegu za Paprika unazijua?Chini hakuna mrembo kuna kidume cha Mbegu
Unazijua kweli daby hizo mbegu..Mbegu za Paprika unazijua?
Mbegu za Paprika nazijua ila sio Paprika mtu bali mmeaUnazijua kweli daby hizo mbegu..
Mmea ndio namaanisha hata mimi.Mbegu za Paprika nazijua ila sio Paprika mtu bali mmea
Mimi nimezipandaMmea ndio namaanisha hata mimi.
Nimezipanda sana coster za moshi arusha miaka hiyo kipindi natafuta kazi.Mimi nimezipanda
Kazi ya kutafuta kazi ni kazi saanaNimezipanda sana coster za moshi arusha miaka hiyo kipindi natafuta kazi.
Kazi ya kupanda vilele vya miinuko na milima tena na begi la kg 45 mgongoni zilinitesa sanaNimezipanda sana coster za moshi arusha miaka hiyo kipindi natafuta kazi.
Sana sana kilo zipungue ndio nafuu inakuwepoKazi ya kupanda vilele vya miinuko na milima tena na begi la kg 45 mgongoni zilinitesa sana