God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Kinyama ni maeneo yaliyo karibu na makumbushoKwetu ya rayvan ni ngoma kali kinyama
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Kinyama ni maeneo yaliyo karibu na makumbushoKwetu ya rayvan ni ngoma kali kinyama
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Makumbusho ya Mashujaa wetu waliopigana vita vya majimajiKinyama ni maeneo yaliyo karibu na makumbusho
Majimaji ya SongeaMakumbusho ya Mashujaa wetu waliopigana vita vya majimaji
Songea kwa kina BambooMajimaji ya Songea
Bambo mchekeshaji au nani?Songea kwa kina Bamboo
Nani km mama?Bambo mchekeshaji au nani?
Mama thatsit ni zaidiNani km mama?
Zaidi yako?Mama thatsit ni zaidi
Yako ilichukuliwa kipindi cha utawala wa JKZaidi yako?
Kikwete unamjua?
Unamjua jamaa alouanzisha huu Uzi?Kikwete unamjua?
Uzi ulianzishwa na Wambuzi hata sijui siku hizi yupo wapiUnamjua jamaa alouanzisha huu Uzi?
Wapi kunauzwa asali mbichi?Uzi ulianzishwa na Wambuzi hata sijui siku hizi yupo wapi
Mbichi unataka ya nini? Ya tumbo la p au?Wapi kunauzwa asali mbichi?
Au na wewe tumbo la P linakuhusu!??? Maana wanaume wa daslaam bhanaa...Mbichi unataka ya nini? Ya tumbo la p au?
bhanaaa.. usinsumbueAu na wewe tumbo la P linakuhusu!??? Maana wanaume wa daslaam bhanaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinsumbue nataka kulalabhanaaa.. usinsumbue
Kulala raha jamaniUsinsumbue nataka kulala
Jamani tena raha sana km kufaKulala raha jamani