James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,194
- 15,541
Hakuna jinsi maisha lazima yasonge lakiniYanaingiliana saa nyingine ila ndio huwa hakuna jinsi.
Hakuna jinsi maisha lazima yasonge lakiniYanaingiliana saa nyingine ila ndio huwa hakuna jinsi.
Lakini saa nyingine yachosha sanaHakuna jinsi maisha lazima yasonge lakini
Sanasana ukiwa na watu wanaokutegemeaLakini saa nyingine yachosha sana
Wanaokutegemea inatakiwa wawe wavumilivu hasa kwa kipindi hiki.Sanasana ukiwa na watu wanaokutegemea
Kipindi hiki si cha masihara na mambo ya pesa mambo yamekuwa magumuWanaokutegemea inatakiwa wawe wavumilivu hasa kwa kipindi hiki.
Yamekuwa magumu sana ila kilicho bora ni namna ya kupangilia matumizi ya kila siku.Kipindi hiki si cha masihara na mambo ya pesa mambo yamekuwa magumu
Kila siku tunatakiwa kuwa na bajeti na mipango stahikiYamekuwa magumu sana ila kilicho bora ni namna ya kupangilia matumizi ya kila siku.
Bajeti na mipango stahiki iko wa watu wachache walio wengi wanatumia wakitegemea kesho watapata tena na hapo ndio shida inapoanzia.Kila siku tunatakiwa kuwa na bajeti na mipango stahiki
Shida inapoanzia ni pale mipango inapokuwa sio matumiziBajeti na mipango stahiki iko wa watu wachache walio wengi wanatumia wakitegemea kesho watapata tena na hapo ndio shida inapoanzia.
Matumizi mabaya ya kiswahili yanasabisha lugha yetu kupotea.Shida inapoanzia ni pale mipango inapokuwa sio matumizi
Kupotea kwake kuna changiwa sana na sisi wenyeweMatumizi mabaya ya kiswahili yanasabisha lugha yetu kupotea.
Sisi wenyewe ndio chanzo na ndio ukweli wenyewe huo.Kupotea kwake kuna changiwa sana na sisi wenyewe
Huo upoteaji/upotoshwaji ni matokeo pia ya ufundishwaji mbovu na kutowajibika kwa baadhi ya taasisi za kiswahiliSisi wenyewe ndio chanzo na ndio ukweli wenyewe huo.
Taasisi za kiswahili saa nyingine hazipewe nafasi.Huo upoteaji/upotoshwaji ni matokeo pia ya ufundishwaji mbovu na kutowajibika kwa baadhi ya taasisi za kiswahili
Nafasi wanazo basi tuTaasisi za kiswahili saa nyingine hazipewe nafasi.
Huo ni muendelezo wa utaratibu tu wa lugha, kuzaliwa na kufa. Lakini mfumo ndio unaokifanya Kiswahili kizidi kuharibikaSisi wenyewe ndio chanzo na ndio ukweli wenyewe huo.
Kuharibika au kupotea kwa lugha pia huweza kusababishwa na kukosekana kwa matumizi ya baadhi ya manenoHuo ni muendelezo wa utaratibu tu wa lugha, kuzaliwa na kufa. Lakini mfumo ndio unaokifanya Kiswahili kizidi kuharibika
Maneno yetu mengi sana kila mtu mjuajiKuharibika au kupotea kwa lugha pia huweza kusababishwa na kukosekana kwa matumizi ya baadhi ya maneno
Mtu mjuaji huwa hashindwi jambo.Maneno yetu mengi sana kila mtu mjuaji
Jambo litakalokufanya uishi kwa furaha kiasi ni kuiishi vema sauti yako ya ndani.Mtu mjuaji huwa hashindwi jambo.