God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Tuu, inawezekana pia maana si kila kilichopo kinaonekana.Hivyo vitu mi huwa navisikia tuu
Tuu, inawezekana pia maana si kila kilichopo kinaonekana.Hivyo vitu mi huwa navisikia tuu
Navisikia tu hata mimi ila siku moja itakuwa kweli kwetu piaHivyo vitu mi huwa navisikia tuu
Kwetu kuzuri ZNZNavisikia tu hata mimi ila siku moja itakuwa kweli kwetu pia
Manailoni tena. Haya karibu kwenye uzi ulioanzishwa na WambuziMzenji mpya.....!
Hahaha amekuja na manailoni
Wambuz kaanzisha uzi safi sana.Manailoni tena. Haya karibu kwenye uzi ulioanzishwa na Wambuzi
Yako ahsante nimeipokea. Jisikie uko nyumbani...Wambuz kaanzisha uzi safi sana.
Ila ahsante kwa karibu yakoo
Yako wapi yale maneno waliowakiyanena eti "laki si pesa"Yakoo au yako?
Pesa lkn haitoshi kufanyia mambo yote. Karibu mzanzibar mwenzanguYako wapi yale maneno waliowakiyanena eti "laki si pesa"
Mzanzibar ndio, upole ndio sifa yetu kubwaMwenzangu katika JF kumbe na wewe ni Mzanzibari!
Sifa yetu kubwa mi nawewe ni pale tunapoanza kucheka vinavyotuchekesha daah..Mpaka tunasahau maudhiMzanzibar ndio, upole ndio sifa yetu kubwa
Nyingine zote nzuri ila hii imebambaKubwa kuliko sifa zenu nyingine zote?
Imebamba kumbe haya hongereni sanaNyingine zote nzuri ila hii imebamba
Hongereni sana kwa kukutana wazenjibari humu ndani kwenye uzi wa wambuzi.Imebamba kumbe haya hongereni sana
Hongereni sana kwa kuuendeleza huu uziImebamba kumbe haya hongereni sana
Wambuzi alipatia sana. Mi sio mzenjibari namsindikiza mdogo wangu thatsitHongereni sana kwa kukutana wazenjibari humu ndani kwenye uzi wa wambuzi.
.....umejuaje! Nmejaribu kuwaza tuu baada ya siku ile ulipoongelea kwa moromboKabisa sio mzenjibari hujakosea. Ila umejuaje?....