Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Nne ukiigawa kwa mbili inaleta mbili lakini ukiizidisha kwa mbili inaleta nane......napenda sana hesabuMbili na mbili wakati mwingine si nne
Nne ukiigawa kwa mbili inaleta mbili lakini ukiizidisha kwa mbili inaleta nane......napenda sana hesabuMbili na mbili wakati mwingine si nne
Hesabu hesabu zinanipa tabuNne ukiigawa kwa mbili inaleta mbili lakini ukiizidisha kwa mbili inaleta nane......napenda sana hesabu
Tabu hiyo inatokana na nini sasa!!?Hesabu hesabu zinanipa tabu
Sasa mm nikiambiwa x+y nakua sielewi kabisaTabu hiyo inatokana na nini sasa!!?
Kabisaaa!! Basi ukiona x+y huelewi fanya x+y=z, kwhyo penye kila x+y we weka z....hapo unaweza kuifanya hesabu ngumu kuwa rahisiSasa mm nikiambiwa x+y nakua sielewi kabisa
Rahisi kumbeKabisaaa!! Basi ukiona x+y huelewi fanya x+y=z, kwhyo penye kila x+y we weka z....hapo unaweza kuifanya hesabu ngumu kuwa rahisi

ni kubadilisha tu inakua solved tayariTayari usiku umeingia nawatakia usiku mwema wanajamvi wote mnaoenda kupumzikaRahisi kumbeni kubadilisha tu inakua solved tayari
Kupumzika baada ya kazii ngumu ya kujenga taifaTayari usiku umeingia nawatakia usiku mwema wanajamvi wote mnaoenda kupumzika
Mmeamkaje huko kwenu? Sisi hapa sote wazima wa afya, tuko tayari kwa ajili ya kulisongesha gurudumu la taifaKujenga taifa ni msukumo wa kutoka ndani, ndani ya dhati ya roho zetu. Ukianzia kwa mtu mmoja mmoja, familia, koo, mpaka taifa.
Lakini kwa sasa msukumo huo umeharibiwa na ngazi ya juu(taifa)-kisera, kimfumo, kielimu, n.k
Vipi lakini wana nzengo, emmyta, alibakari, thatsit, Mwifwa, bbc, mtebetini, n.k mmeamkaje?
Njema kabisa kwa niaba yake kanituma nimjibieAfya tele zinatiririka tuuu kutoka kwa M/Mungu, j tano inasemaje huko kwenu emmyta, ipo njema?
Ukiamka mzima ni heri, na si kwa uweza wetu, ila aliyetuumba. Muhimu ni kuwaombea wale wenzetu wasioamka salama, wagonjwa ili waweze pata nafuu. Wasioamka kabisa basi wapate pumziko la milele.Salama lkn uko kwenu? Sisi tunashkur alhamdulillah kwa kweli maana kuna wengine wako mahospitalini hali zao sio nzuri. Ni jambo la kumshukuru muumba ukiamka mzima
Milele ameeenUkiamka mzima ni heri, na si kwa uweza wetu, ila aliyetuumba. Muhimu ni kuwaombea wale wenzetu wasioamka salama, wagonjwa ili waweze pata nafuu. Wasioamka kabisa basi wapate pumziko la milele.
, watangulie wakatusubr na cc tuko njianiUkiamka mzima ni heri, na si kwa uweza wetu, ila aliyetuumba. Muhimu ni kuwaombea wale wenzetu wasioamka salama, wagonjwa ili waweze pata nafuu. Wasioamka kabisa basi wapate pumziko la milele.
Amina ni neno lenye maana ya "na iwe hivyo"Milele amina
Hivyo vitu mi huwa navisikia tuuAmina ni neno lenye maana ya "na iwe hivyo"