Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kuwepo kwake saa nyingine ni kwa ajili ya kupima uwezo wa kupambanua zuri na baya
Kupambanua zuri na baya ni uwezo alopewa binaadamu, lakini kuna mda hata mnyama ana afadhali kadri ya matendo ya binaadamu wa leo.
 
Tulipokengeuka ni pale tulipoupa nafasi utandawazi wa asilimia mia moja
Asilimia mia moja nakubaliana nawe, maana huu uleo umetufanya tuukane ukale wetu uliotuongoza vema. Hatimaye aliyeko chumbani na barabarani hawana tofauti, si kwa me+ wala ke-
 
Asilimia mia moja nakubaliana nawe, maana huu uleo umetufanya tuukane ukale wetu uliotuongoza vema. Hatimaye aliyeko chumbani na barabarani hawana tofauti, si kwa me+ wala ke-
Ke- ndio wamezidi mana kuna ambao ukipishana nao barabarani unaweza muangalia mara kumi kumi usimmalize kwa huo muonekano wake
 
Ke- ndio wamezidi mana kuna ambao ukipishana nao barabarani unaweza muangalia mara kumi kumi usimmalize kwa huo muonekano wake
Wake za watu siku hizi, hata thamani za ndoa zao hawajihitaji. Waume vivyo vivyo. Thamani ya ndoa imenaki kwenye pete, akilini ni njia ndogodogo, za huduma, na michepuko ya kutosha. Yaani ni aibu
 
Back
Top Bottom