Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Kumuelimisha mjinga inataka moyo. Mana walio wengi hawashauriki hata kidogo.Sana sana utajipa tabu tu kumuelimisha mjinga
Kumuelimisha mjinga inataka moyo. Mana walio wengi hawashauriki hata kidogo.Sana sana utajipa tabu tu kumuelimisha mjinga
Kidogo na kizuri, kula na nduguzoKumuelimisha mjinga inataka moyo. Mana walio wengi hawashauriki hata kidogo.
Na nduguzo ndio ndugu zanguKidogo na kizuri, kula na nduguzo
Ndugu zangu naamini nao wanakupenda sanaNa nduguzo ndio ndugu zangu
Wanakupenda sana wana jf wa kwenye huu uzi kwa sababu huhitaji ushindi.Ndugu zangu naamini nao wanakupenda sana
Ushindi huu nafanya mpango uwe wa kwako.Wanakupenda sana wana jf wa kwenye huu uzi kwa sababu huhitaji ushindi.
Kwako ndio ungefaa sana ujueUshindi huu nafanya mpango uwe wa kwako.
Mambo ni poa sijui huko ulipo weweNawaona tu mnavyotuacha wenyewe. Mambo?.
Wewe umeshindaje kwani. Mi sijambo bukheri wa afya tele.Mambo ni poa sijui huko ulipo wewe
Tele tele nimejaa mama klare naye mzimaWewe umeshindaje kwani. Mi sijambo bukheri wa afya tele.
Naye mzima kumbe. Nafurahi kisikia hivyo.Tele tele nimejaa mama klare naye mzima
Hivyo tuendelee kushindana ila hamtanishindaNaye mzima kumbe. Nafurahi kisikia hivyo.
Hamtanishinda mimi nisiyetoka humuHivyo tuendelee kushindana ila hamtanishinda
Humu mbona tulishakubaliana ushindi wangu. Au thatsit hakukuambia?Hamtanishinda mimi nisiyetoka humu
Hakukuambia jinsi tulivyojadiliana nani tumpe hiyo zawadiHumu mbona tulishakubaliana ushindi wangu. Au thatsit hakukuambia?
Zawadi ni nini kwanza?Hakukuambia jinsi tulivyojadiliana nani tumpe hiyo zawadi
Kwanza tuliahidiana mshindi akipatikana ndio zawadi tuionyeshe hadharani.Zawadi ni nini kwanza?
Hadharani hakufahi kuonesha zawadi ya ushindi, tutaionesha ukumbini.Kwanza tuliahidiana mshindi akipatikana ndio zawadi tuionyeshe hadharani.