God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Kawaida yangu kulala mda huo. Ila daaa pole daderi wangu....kumbe jana nimekosa mengi.Eenhee. Wacha tu God Heals vituko vilifanya nikalala saa nne wakati sio kawaida yangu
Kawaida yangu kulala mda huo. Ila daaa pole daderi wangu....kumbe jana nimekosa mengi.Eenhee. Wacha tu God Heals vituko vilifanya nikalala saa nne wakati sio kawaida yangu
Mengi yamekukosa aisee. Muulize thatsit mana tulikuwa naye hayo maeneo.Kawaida yangu kulala mda huo. Ila daaa pole daderi wangu....kumbe jana nimekosa mengi.
Maeneo hayo sikuweza kuwepo jana, mimi nilikuwa mtaa wa nne huko. Nliwaona tu kwa mbali mkialikana nyama choma.Mengi yamekukosa aisee. Muulize thatsit mana tulikuwa naye hayo maeneo.
Nyama choma inanoga ikiwa na pilipili ya kutosha bila kusahau na ndimuMaeneo hayo sikuweza kuwepo jana, mimi nilikuwa mtaa wa nne huko. Nliwaona tu kwa mbali mkialikana nyama choma.
Ndimu nzuri kwa wanaonuka vikwapaNyama choma inanoga ikiwa na pilipili ya kutosha bila kusahau na ndimu
Vikwapa vinavyonuka havikwepeki hasa kwenye daladala ambako watu wanabanana sana.Ndimu nzuri kwa wanaonuka vikwapa
"Wanaonuka vikwapa, hasa wanaume huwa nawapenda sana; maana huwa nakuwa peke yangu."Ndimu nzuri kwa wanaonuka vikwapa
Kujiamini ndio kila kitu"Wanaonuka vikwapa, hasa wanaume huwa nawapenda sana; maana huwa nakuwa peke yangu."
Alisikika mmama mmoja akionge kwa kujiamini.
Kujiamn muhimu"Wanaonuka vikwapa, hasa wanaume huwa nawapenda sana; maana huwa nakuwa peke yangu."
Alisikika mmama mmoja akionge kwa kujiamini.

Kujiamini muhimu ila sio kwa kutoa siri za mpenziwo, lol!Kujiamn muhimu![]()
![]()
![]()
![]()
Kutoa siro za mpenziwo ni saww na kuuza siri za kambi kwa maaduiKujiamini muhimu ila sio kwa kutoa siri za mpenziwo, lol!
Maadui ni watu ninaopenda kuwa nao karibu sanaKutoa siro za mpenziwo ni saww na kuuza siri za kambi kwa maadui
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Karibu sana God Heals? Unapendea nini sasa...Maadui ni watu ninaopenda kuwa nao karibu sana
Sasa ni wakati wa kusambaziana furaha, upendo. Hivyo uwapo karibu na adui zako, itafanya upunguze idadi ya maadui na kuongeza marafiki.Karibu sana God Heals? Unapendea nini sasa...
Marafiki wapo wa aina mbalimbali ambao inahitajika umakini sana kwa sababu wapo wenye faida na pia wenye hasara.Sasa ni wakati wa kusambaziana furaha, upendo. Hivyo uwapo karibu na adui zako, itafanya upunguze idadi ya maadui na kuongeza marafiki.
Wenye hasara wapo kote, wawe maadui au marafiki. Na wenye faida hivyo hivyo. Hivyo ni muhimu kuishi vizuri kwa kila mtu, ila tahadhali ni muhimu mno.Marafiki wapo wa aina mbalimbali ambao inahitajika umakini sana kwa sababu wapo wenye faida na pia wenye hasara.
Marafiki wapo wa aina mbalimbali ambao inahitajika umakini sana kwa sababu wapo wenye faida na pia wenye hasara.
Uwepo wao, na uwepo wa vitu vingu una maana kwa vitu vingine. Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.Wenye hasara pia wanafaida kubwa sana, ukielewa umuhimu wa uwepo wao
Kuwepo kwake saa nyingine ni kwa ajili ya kupima uwezo wa kupambanua zuri na bayaUwepo wao, na uwepo wa vitu vingu una maana kwa vitu vingine. Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.
Uwepo wao, na uwepo wa vitu vingu una maana kwa vitu vingine. Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.