bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,813
Morombo au geti la mbao ?Nyama choma!!! Hivi emmy kweli upo kwa morombo!
Morombo au geti la mbao ?Nyama choma!!! Hivi emmy kweli upo kwa morombo!
Kwa morombo kuna nyama choma. Hahaaa. Unataka uje...Nyama choma!!! Hivi emmy kweli upo kwa morombo!
Unataka uje ,njoo tyu utatukuta wajanja wote wa town tuko hukuKwa morombo kuna nyama choma. Hahaaa. Unataka uje...
Huku sasa hivi baridi inapiga kwelikweliUnataka uje ,njoo tyu utatukuta wajanja wote wa town tuko huku
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Kwelikweli kuna baridi kama huko meru ndio balaaHuku sasa hivi baridi inapiga kwelikweli
Balaa lililo mkumba bashite kuhusu vyeti hatosahauKwelikweli kuna baridi kama huko meru ndio balaa
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Hatosahau kamwe labda akazaliwe upya amerikaBalaa lililo mkumba bashite kuhusu vyeti hatosahau
Amerika haiwezi kuwa na watu kama bashite labda huko kanda ya ziwa ndipo wanapopatikanaHatosahau kamwe labda akazaliwe upya amerika
Mnifahamishe kuhusu Andrew Chenge mbona kila kashfa yupo..Wanapopatikana changu (samaki), naomba mnifahamishe
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Yupo kwasababu ni mdau ktk huu mchezoMnifahamishe kuhusu Andrew Chenge mbona kila kashfa yupo..
Sent from my Z30 using JamiiForums mobile app
Mchezo wa mazoezi ya viungo asubuhi hii ni mzuri kwa AfyaYupo kwasababu ni mdau ktk huu mchezo
Afya yangu ni njema sijui nyie wenzangu.Mchezo wa mazoezi ya viungo asubuhi hii ni mzuri kwa Afya
Wenzangu nami hatujambo kumekucha salama namshukuru Mungu kwa ulinziAfya yangu ni njema sijui nyie wenzangu.
Ulinzi wake ni wa hali ya juu hatuna budi kumshukuruWenzangu nami hatujambo kumekucha salama namshukuru Mungu kwa ulinzi
Kumshukuru Yeye aliyetuumba ni vema, na kumuomba atuwezeshe kumaliza salama siku hii ya leo.Ulinzi wake ni wa hali ya juu hatuna budi kumshukuru
Leo ni JumanneKumshukuru Yeye aliyetuumba ni vema, na kumuomba atuwezeshe kumaliza salama siku hii ya leo.
Jumanne ambayo hatujajua kama itakuwa na vituko kama vya janaLeo ni Jumanne
Jana kulikuwa na vituko eeeenh!!!Jumanne ambayo hatujajua kama itakuwa na vituko kama vya jana
Eenhee. Wacha tu God Heals vituko vilifanya nikalala saa nne wakati sio kawaida yanguJana kulikuwa na vituko eeeenh!!!