Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Tuelewe wote bila hata mmoja wetu kuachwa nyuma....ndio vizuri kiafya!!! Inawezekana una maana, hebu mwaga lazi tuelewe
Tuelewe wote bila hata mmoja wetu kuachwa nyuma....ndio vizuri kiafya!!! Inawezekana una maana, hebu mwaga lazi tuelewe
"Nyuma ya kisogo/kichogo cha mtu ni sawa na seng'enge."Tuelewe wote bila hata mmoja wetu kuachwa nyuma
Kitabu cha takadini nami nakifahamu pia."Nyuma ya kisogo/kichogo cha mtu ni sawa na seng'enge."
Ni moja ya msemo wa mtunzi wa kitabu cha Takadini.
Pia hata mimi nakifahamu ila maudhi yake sijaelewaKitabu cha takadini nami nakifahamu pia.
Sijaelewa unamaanisha nn unaposema maudhiPia hata mimi nakifahamu ila maudhi yake sijaelewa
Maudhui yake mkuu tatizo la kiuandishiSijaelewa unamaanisha nn unaposema maudhi
Maudhi akimaanisha maudhui labda. Nakusalimu mdogo wanguSijaelewa unamaanisha nn unaposema maudhi
Wangu me sijambo kabisa siumwi hata na kuchaMaudhi akimaanisha maudhui labda. Nakusalimu mdogo wangu
Uzikate kwa nini sasa. Mi sijambo.Kucha zak chafu, si uzikate
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Mi pia sijambo dada, basi zing'oeUzikate kwa nini sasa. Mi sijambo.
Zing'oe nini?Mi pia sijambo dada, basi zing'oe
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Basi zing'oe wewe mi naogopa maumivu.Mi pia sijambo dada, basi zing'oe
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Maumivu utayahisi baadae wakija wale wataalam wa kung'oaBasi zing'oe wewe mi naogopa maumivu.
Kung'oa meno sana kunasababisha mapengoMaumivu utayahisi baadae wakija wale wataalam wa kung'oa
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Urembo tu!! Me siyapendi mapengoMapengo urembo tu
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Mapengo ni urembo duuh. Alibakari ana maneno. Mi kama wewe mdogo wangu siyapendi pia.Urembo tu!! Me siyapendi mapengo
Pia ukiwa na mapengo huwez kula nyamaMapengo ni urembo duuh. Alibakari ana maneno. Mi kama wewe mdogo wangu siyapendi pia.
Nyama ya bata ni tamuPia ukiwa na mapengo huwez kula nyama