God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Seems interested kwa lipi, ukubwa ukubwa au?Baadae jiunge seems interested
Seems interested kwa lipi, ukubwa ukubwa au?Baadae jiunge seems interested
Au nimekosea james kumuelewesha mana sio kwa maneno yale aliyonipa.Seems interested kwa lipi, ukubwa ukubwa au?
Yale aliyonipa kama taarifa, ndio kakushushia kama yalivyo. Naamini hakukuelewa kabla. Vipi lakini uzima upo!Au nimekosea james kumuelewesha mana sio kwa maneno yale aliyonipa.
Uzima upo kaka ake. Nawasilimia wote...Yale aliyonipa kama taarifa, ndio kakushushia kama yalivyo. Naamini hakukuelewa kabla. Vipi lakini uzima upo!
Wote pamoja na ww mnisamehe nimeeleweka vibaya hapo juuUzima upo kaka ake. Nawasilimia wote...
Wote naamini watakuwa wazima na wameamka salama, ila tu bize za jumatatu ndo zinabana.Uzima upo kaka ake. Nawasilimia wote...
Zinabana sana aisee na ukiangalia ijumaa ilikuwa 7 7 lazima tu iwe hivyoWote naamini watakuwa wazima na wameamka salama, ila tu bize za jumatatu ndo zinabana.
Hivyo ndivyo ilivyo, lilikuwa bonge la wiendi ingawa kwa sisi wengine ilikuwa mbaya maana tulikuwa nondo ndefuZinabana sana aisee na ukiangalia ijumaa ilikuwa 7 7 lazima tu iwe hivyo
Nondo ndefu hahaaa. Pole sanaHivyo ndivyo ilivyo, lilikuwa bonge la wiendi ingawa kwa sisi wengine ilikuwa mbaya maana tulikuwa nondo ndefu
Pole sana na wewe pia I didnt mean any offenseNondo ndefu hahaaa. Pole sana
Sana ilikula kwangu tu, ila nashukuru daderi wangu.Nondo ndefu hahaaa. Pole sana
Wangi kaka God Heals usijali tuko pamojaSana ilikula kwangu tu, ila nashukuru daderi wangu.
Pamoja tutafika, na ahueni tutaipata.Wangi kaka God Heals usijali tuko pamoja
Tutaipata hakika wote bila hata kuachwa mmoja wetuPamoja tutafika, na ahueni tutaipata.
Mmoja wetu akipotea ni heri tuwaache tisini na kenda, tumtafute, tumrudishe, na tusheherekee.Tutaipata hakika wote bila hata kuachwa mmoja wetu
Kabisaaa na ndio ukweli wenyewe huoMmoja wetu akipotea ni heri tuwaache tisini na kenda, tumtafute, tumrudishe, na tusheherekee.
Ila hii ishu haiapply kwa mkulu kabisaaa.....!!!
Huo mpango inawezekana siku moja; ingawa sio sana ukaja kufanikiwa.Kabisaaa na ndio ukweli wenyewe huo
huo ni mtazamo wa kutamanika..Kabisaaa na ndio ukweli wenyewe huo