Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Kufanikiwa kunatokana najuhudi za kutafuta bila kuchoka.Huo mpango inawezekana siku moja; ingawa sio sana ukaja kufanikiwa.
Kufanikiwa kunatokana najuhudi za kutafuta bila kuchoka.Huo mpango inawezekana siku moja; ingawa sio sana ukaja kufanikiwa.
Kuchoka ungali bado haujafikà unapokwenda, huo ni uzembe usio kifani.Kufanikiwa kunatokana najuhudi za kutafuta bila kuchoka.
Kifani na kimaudhui hakuturuhusu kukata tamaaKuchoka ungali bado haujafikà unapokwenda, huo ni uzembe usio kifani.
Tamaa mbaya walisema wahenga wetuKifani na kimaudhui hakuturuhusu kukata tamaa
Tamaa isiyo chanya haifai kuiishi maishani mwetu.Kifani na kimaudhui hakuturuhusu kukata tamaa
Maishani mwetu tumezowea amani na upendoTamaa isiyo chanya haifai kuiishi maishani mwetu.
Upendo ni tunda la roho, huleta amani na furaha katikati ya chuki na uadui.Maishani mwetu tumezowea amani na upendo
Tupendane wote kwa pamoja kama nduguUpendo ni tunda la roho, huleta amani na furaha katikati ya chuki na uadui.
Tupendane....
Ndugu ukapoteaTupendane wote kwa pamoja kama ndugu
Ukapotea weye pasi kuendelea. Mzima lakini?...Ndugu ukapotea
Lakini nilikutafutaUkapotea weye pasi kuendelea. Mzima lakini?...
Nilikutafuta kwenye PM yako, ndio umenifungiaLakini nilikutafuta
Nilikutafuta pasi na mafanikio. Nkaamua kuua wingaLakini nilikutafuta
Winga telezaNilikutafuta pasi na mafanikio. Nkaamua kuuwa winga
Winga wa kushoto wa Chelsea ni omo kiboko ya uchafuNilikutafuta pasi na mafanikio. Nkaamua kuuwa winga
Uchafu umeshamiri sana maeneo mengi ya masoko yetu ya vyakula.Winga wa kushoto wa Chelsea ni omo kiboko ya uchafu
Vyakula vimekuwa ghali sanaUchafu umeshamiri sana maeneo mengi ya masoko yetu ya vyakula.
Vyakula tunavyokula vikiwa na uchafu ndio vizuri kiafyaUchafu umeshamiri sana maeneo mengi ya masoko yetu ya vyakula.
....ndio vizuri kiafya!!! Inawezekana una maana, hebu mwaga lazi tueleweVyakula tunavyokula vikiwa na uchafu ndio vizuri kiafya