Akhy D
JF-Expert Member
- Jun 10, 2013
- 361
- 420
Uone utazame hapa dude kama kawaDude halitakuacha salama, jaribu uone.
Uone utazame hapa dude kama kawaDude halitakuacha salama, jaribu uone.
Kawaida yangu kucheza huu mchezo maridhawaUone utazame hapa dude kama kawa
Mchezo maridhawa wawili kuridhianaKawaida yangu kucheza huu mchezo maridhawa
Kuridhiana ni vyema kwa wanaopendanaMchezo maridhawa wawili kuridhiana
Wanaopendana kwa dhati ni akina nani kwenye huu uzi?Kuridhiana ni vyema kwa wanaopendana
Huu uzi unasababisha watu wananipenda sana kuliko wengineWanaopendana kwa dhati ni akina nani kwenye huu uzi?
Wengine tunakuchukia kinyama.Huu uzi unasababisha watu wananipenda sana kuliko wengine
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Kinyama kile kilichoota usoni kwako kimetokana na nini?Wengine tunakuchukia kinyama.
Nini mnaongelea hapa ni kuhusu huyo kichwa kichafu asiyetaka kukioshaKinyama kile kilichoota usoni kwako kimetokana na nini?
Kukiosha kunahitaji ujasiri maana kina kila aina ya uchafuNini mnaongelea hapa ni kuhusu huyo kichwa kichafu asiyetaka kukiosha
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
uchafu wake umegeuka kuwa ukoko?Kukiosha kunahitaji ujasiri maana kina kila aina ya uchafu
Ukoko wa chips sijawahi kuuonauchafu wake umegeuka kuwa ukoko?
Upo sema wewe sio mfuatiliaji tu au kama unatumia mafuta ya transformer huta uona...Ukoko wa chips sijawahi kuuona
Huta uona umbali wa safari mpaka usafiriUpo sema wewe sio mfuatiliaji tu au kama unatumia mafuta ya transformer huta uona...
Usafiri wa boda boda ama Baiskeli?Huta uona umbali wa safari mpaka usafiri
Baskeli aina ya phonex kama umeitumia jua na ww ni muhengaUsafiri wa boda boda ama Baiskeli?
Baiskeli kuendesha sio lazima licenceUsafiri wa boda boda ama Baiskeli?
Movie za bongo ni mbayaaa dunia nzimaaaLicence to kill, nani aliwahi kuiona hiyo movie