Kombe lipo tu na nina imani nitalipata. Mi pia nimemuona Daby mana kanipa kiji like
Kiji like chake naona ni cha mia ishirini, yaaan shaaaaaa!Kombe lipo tu na nina imani nitalipata. Mi pia nimemuona Daby mana kanipa kiji like
Like utapata ila kombe mh....Kombe lipo tu na nina imani nitalipata. Mi pia nimemuona Daby mana kanipa kiji like
Wakwezo mpaka waone taulo likianguka jua shida anayo aliyeangukwa na hilo taulo.Balaa ni pale unapoangukwa na taulo mbele ya mama wakwezo
Furahaze huwa hajui kuzificha ni lazima kila mtu atajua tu hata bila kushirikishwa.
Kushirikishwa kwenu kutaifanya safari yangu iwe salama. Nanyanyua ndinga niwahi home, mniombee kwa Allah, na mbaki salama.Furahaze huwa hajui kuzificha ni lazima kila mtu atajua tu hata bila kushirikishwa.
Vile watu wametulia acha niliamshe dudeBalaa kama barabara vile
Dude halitakuacha salama, jaribu uone.Vile watu wametulia acha niliamshe dude