Wengi kwa sasa wamejichimbia ndichiKumalizia wataweza tu maana wajinga ni wengi!
Ndichi ndio nini jamani mi sijuiWengi kwa sasa wamejichimbia ndichi
Wepesi lazima uwepo kwenye kila jambo zito.
Nakuskia kwa mbali
Zito hilo linalokukumbusha hayo yote ni lipi dada angu, toka asubuhi nakuskia...!
Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa safari nyingineBado hajapatikana wa mwisho
Ndichi ni chini au ndani kwa ndaniNdichi ndio nini jamani mi sijui
Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa safari nyingine
Eskro au Escrow?Nyingine ni ile kwepa na eskro
Humu kwema? KumekuchaEskro au Escrow?
Habari zenu wote humu.
Kumekucha salama, kama kawa sir God katubariki+ tumeamka njemaHumu kwema? Kumekucha
Njema ni habari gani hizo?Kumekucha salama, kama kawa sir God katubariki+ tumeamka njema
Hizo kauli zenu ndio mwazo wa purukushaniNjema ni habari gani hizo?
Purukushani siku zote haiwezi muacha salama mpurukushwaji.Hizo kauli zenu ndio mwazo wa purukushani
Mpurukushwaji anaweza akaachwa salama ila kwa mbindePurukushani siku zote haiwezi muacha salama mpurukushwaji.
Kwa mbinde sana, mparianda alivuka mto ule wenye mamba wengi mno.Mpurukushwaji anaweza akaachwa salama ila kwa mbinde
Wengi mno imekuwa neno gumu sana kumaliziaKwa mbinde sana, mparianda alivuka mto ule wenye mamba wengi mno.
Kumalizia safari yake kwa siku ile ilikuwa ngumu kwa mparianda, sababu ya njaa, na uchovu.Wengi mno imekuwa neno gumu sana kumalizia