Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Rufiji na kibiti vitaisha ila havitaacha watu salama
Rufiji mkoa wa pwani wamevamiwa na wauwaji walioshindwa kutambuliwa na walinda usalama wa njii hìiMkuu wa jeshi la Polisi anakerwa sana na mauaji ya Mkuranga/Kibiti/Rufiji
Hatari kukaa pembezoni ya barabaraHii sasa imekua ni hatari
mwendo kasi ni mzuri hasa unapotumia barabara unayoijua vema, na kuizoeaBarabara ya vumbi ni hatari kwa mwendo kasi
Kuizoea ile kitu inataka ujasirimwendo kasi ni mzuri hasa unapotumia barabara unayoijua vema, na kuizoea
Hiki ndio nisichokipenda mimiUjasiri si kwa kizazi hiki
Mimi sipendi shule siku hizi...Hiki ndio nisichokipenda mimi
Hizi ndio siku za mwshoMimi sipendi shule siku hizi...
Mwisho chalinze uzee eti.Hizi ndio siku za mwsho
Mwisho chalinze uzee eti.
Unasemaje dada nilikuwa mbali kidogo...eti umesemaje?
Kidogo nisahau kunywa chai kwa ajili ya ubusy wa kutafuta shilingiUnasemaje dada nilikuwa mbali kidogo...
Shilingi zenyewe zimekuwa ngumu kupatikana. Kunywa tu chai mumy halafu ndio uendelee kuzitafutaKidogo nisahau kunywa chai kwa ajili ya ubusy wa kutafuta shilingi
Kuzitafuta huku ukimwomba Mola atie wepesiShilingi zenyewe zimekuwa ngumu kupatikana. Kunywa tu chai mumy halafu ndio uendelee kuzitafuta
Wepesi lazima uwepo kwenye kila jambo zito.Kuzitafuta huku ukimwomba Mola atie wepesi
Zito kabwe muanzilishi wa chama cha act wazalendoWepesi lazima uwepo kwenye kila jambo zito.
Wazalendo wote wametoweka TanzaniaZito kabwe muanzilishi wa chama cha act wazalendo