Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Tumeshindwa kumpata mshindi kwa sababu kila mmoja anapenda kuwa mshindiWetu udugu na ujamaa uendelee humu ndani maana mshindi tumeshindwa kumpata.
Tumeshindwa kumpata mshindi kwa sababu kila mmoja anapenda kuwa mshindiWetu udugu na ujamaa uendelee humu ndani maana mshindi tumeshindwa kumpata.
Mshindi bora aendelee kutopatikana ili tuwe tunasalimia na kupiga story za hapa na pale kwa pamoja na upendoTumeshindwa kumpata mshindi kwa sababu kila mmoja anapenda kuwa mshindi
Pamoja na upendo tunaotaka uendelee kuwepo ni vizuri mkanitunuku mimi hiyo tuzo then mambo mengine yakafuataMshindo bora aendelee kutopatikana ili tuwe tunasalimia na kupiga story za hapa na pale kwa pamoja na upendo
Yakafuata yale maswali, nilitetemeka mpaka basiPamoja na upendo tunaotaka uendelee kuwepo ni vizuri mkanitunuku mimi hiyo tuzo then mambo mengine yakafuata
Basi nililosafiri nalo juzi lilikuwa likiendeshwa na mwanamkeYakafuata yale maswali, nilitetemeka mpaka basi
Mwanamke akiendesha basi huwa naona fahari sana sio siri.Basi nililosafiri nalo juzi lilikuwa likiendeshwa na mwanamke
Siri ya mafanikio yao ni matokeo makubwa, mazuri kuliko mategemeo yetu.Mwanamke akiendesha basi huwa naona fahari sana sio siri.
Mategemeo yetu ni kufanya cha zaidi ya tunachokitarajia kiwe..Siri ya mafanikio yao ni matokeo makubwa, mazuri kuliko mategemeo yetu.
Nafurahi sana kukuona God Heals unapata mshangao. Ila ndio hakuna jinsi inabidi ushangae kwa kiasi mana ndio imeshakuwa hivyoTunachokitarajia kiwe na mnachotupatia ni mshangao sana. Kiukweli mimi huwa nafurahia sana
Kuibadilisha bwana nimeshindwa, na maumivu ni sehemu ya ubinaadamu wetu. Zaidi, huruma ndio shida na ni maumbwa yanguIlivyo imani yako saa nyingine itakufanya ukonde bure haswa yale unayoyatarajia yatakapo kwenda ndivyo sivyo. Jitahidi kuibadilisha bwana
Sindano ni bora kuliko vidongeIlivyo ngumu kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa kupenya kwenye tundu la sindano
Yangu yanataka kufanana na yako ila kwa mbali sanaKuibadilisha bwana nimeshindwa, na maumivu ni sehemu ya ubinaadamu wetu. Zaidi, huruma ndio shida na ni maumbwa yangu
Sana sana napenda yawe mbali, maana yakikaribiana na mimi utateseka mno.Yangu yanataka kufanana na yako ila kwa mbali sana
Mno ukimaanisha sana. Hapana natamani yakaribiane ili nione umewezaje kuyamudu bila kukutesaSana sana napenda yawe mbali, maana yakikaribiana na mimi utateseka mno.
Bila kukutesa haiwezekani, ila mateso, maumivu yalikuwa mafunzo kwangu. Sasa hivi nina uwezo mkubwa wa kupokea na kuyatatua maswaibu.Mno ukimaanisha sana. Hapana natamani yakaribiane ili nione umewezaje kuyamudu bila kukutesa
Maswaibu gani hayo na uliyatatuaje. Hebu nipe kwa ufupi ili nami nipate faidaBila kukutesa haiwezekani, ila mateso, maumivu yalikuwa mafunzo kwangu. Sasa hivi nina uwezo mkubwa wa kupokea na kuyatatua maswaibu.