bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Uchovu wa akili ni mbaya sana!Kumalizia safari yake kwa siku ile ilikuwa ngumu kwa mparianda, sababu ya njaa, na uchovu.
Uchovu wa akili ni mbaya sana!Kumalizia safari yake kwa siku ile ilikuwa ngumu kwa mparianda, sababu ya njaa, na uchovu.
Mbaya sana kiongozi yule anayekupa mswaki leo, halafu kesho akakung'oa meno.Uchovu wa akili ni mbaya sana!
Meno ni kipimo cha ukubwaMbaya sana kiongozi yule anayekupa mswaki leo, halafu kesho akakung'oa meno.
Ukubwa ni jalalaMeno ni kipimo cha ukubwa
Jalala la Pugu limesheheni uchafu siyo mchezo!Ukubwa ni jalala
Sio mchezo kuitwa baba kijacho kama hujajipangaJalala la Pugu limesheheni uchafu siyo mchezo!
Hujajipanga tu bado wewe na wenzako mi nawasubiri hukuSio mchezo kuitwa baba kijacho kama hujajipanga
Huku kuna mvua leo, maajabu ya mwaka hayaHujajipanga tu bado wewe na wenzako mi nawasubiri huku
Haya kulikoni tenaHuku kuna mvua leo, maajabu ya mwaka haya
Tena joto kali lkn mvua inanyeshaHaya kulikoni tena
Inanyesha kuzidisha joto mdogo wangh hapo hakuna kingineTena joto kali lkn mvua inanyesha
Kingine bac kuna upepo mpk naogopaInanyesha kuzidisha joto mdogo wangh hapo hakuna kingine
Naogopa sana hali hiyo mdogo wangu.Kingine bac kuna upepo mpk naogopa
Wangu uoga umezidi kiwangoNaogopa sana hali hiyo mdogo wangu.
Kiwango gani mdogo wangu. Au upepo unaosemea wewe sio ninaoufikiria mimiWangu uoga umezidi kiwango
Mimi nahic sio labda, lkn umeshapungua sasaKiwango gani mdogo wangu. Au upepo unaosemea wewe sio ninaoufikiria mimi
Sasa ndio nimekuelewa vizuriMimi nahic sio labda, lkn umeshapungua sasa
vizuri kuwa makini na mitandao ya kijamiiSasa ndio nimekuelewa vizuri
Mitandao ya kijamii inataka umakini tena wa hali ya juuvizuri kuwa makini na mitandao ya kijamii
Juu ya kichwa chako umeweka niniMitandao ya kijamii inataka umakini tena wa hali ya juu