Juu ya kichwa chako umeweka nini
Nini kimekufanya uandike hivi?
Juu ya kichwa chako umeweka nini
Hivi humu mbona kuna watu wameadimika sana.Nini kimekufanya uandike hivi?
Hivi humu mbona kuna watu wameadimika sana.
Sanaa, hata mimi ni miongoniHivi humu mbona kuna watu wameadimika sana.
Miongoni mwa waliochangia uziSanaa, hata mimi ni miongoni
Uzi maridadi kabisa huu tangu miaka kadhaa iliyopitaMiongoni mwa waliochangia uzi
JERO itabaki kuwa JERO tu kwa sisi maselaMiaka kadhaa iliopita shilingi mia tano ilikua inaitwa JERO.
Masela siku hizi mumeadimika sana sijui kwa niniJERO itabaki kuwa JERO tu kwa sisi masela
Kwa nini jamani, muwe mnakuja basiMasela siku hizi mumeadimika sana sijui kwa nini
Basi ujuwe wapo busy kutafuta pesaKwa nini jamani, muwe mnakuja basi
Pesa ndio kila kitu hivyo sio mbaya.Basi ujuwe wapo busy kutafuta pesa
Pesa yenyewe umekuwa ngumu hiziBasi ujuwe wapo busy kutafuta pesa
Sio mbaya we never forget dis thread ma'amPesa ndio kila kitu hivyo sio mbaya.
ma'am ndio lugha gani?Sio mbaya we never forget dis thread ma'am
Gani kiaje yani?ma'am ndio lugha gani?
Yani dukuduku lako unatakiwa uliseme wakati unaendeleza post ndio inaleta maana nzuri.Gani kiaje yani?
Lugha gani kwani si ki English icho nimempa heshima yake bi dada japo anaweza kuwa ni msichana tuma'am ndio lugha gani?