James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Nanasi ni tunda la msimu
Msimu huu mana nasi mengi ni machachuNanasi ni tunda la msimu
Machachu lakini yanapendwaMsimu huu mana nasi mengi ni machachu
Gharama ni kubwa kuendelea kushindana wakati aliyeanzisha uzi huu 'Wambuzi' ametukimbia...Yanapendwa japo yana gharama
Ametumbukia wapi tena... Ila Bishop Hiluka kuna thread yako niligongana nayo sehemu yaani niliishia kucheka badala ya ku comment lol. We ni hatari.Gharama ni kubwa kuendelea kushindana wakati aliyeanzisha uzi huu 'Wambuzi' ametukimbia...
Hatari si ndiyo dangerAmetumbukia wapi tena... Ila Bishop Hiluka kuna thread yako niligongana nayo sehemu yaani niliishia kucheka badala ya ku comment lol. We ni hatari.
Danger ni neno nililozoea kuliona likiambatana na picha ya fuvu la mtu...Hatari si ndiyo danger
Mtu mmoja namtafuta humuDanger ni neno nililozoea kuliona likiambatana na picha ya fuvu la mtu...
humu ndani mtu ninayemjua ni mimi...Mtu mmoja namtafuta humu
Kujulikana sio ishu kabisaMimi sitaki kujulikana
Wanayoyafanya vyama vya upinzani sidhani Kama yatasaidia taifa letu.Aibu inayowakumba ziongozi wetu ni matokeo ya maovu wanayoyafanya
Letu wewe na nani..!??Wanayoyafanya vyama vya upinzani sidhani Kama yatasaidia taifa letu.
Ngorongoro ni sehemu nzuri kwa wanaopenda kutembelea mbuga zetu za wanyama.Mifupa ya mtu wa kale imehifadhiwa Ngorongoro
Wanyama wengi saana wapo ngorongoro hasa kule craterNgorongoro ni sehemu nzuri kwa wanaopenda kutembelea mbuga zetu za wanyama.
Crater kwan ipo moja tu mkuu?Wanyama wengi saana wapo ngorongoro hasa kule crater
Mkuu wa jeshi la Polisi anakerwa sana na mauaji ya Mkuranga/Kibiti/RufijiCrater kwan ipo moja tu mkuu?