amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Pia usisahau kua mashilawadu wapo humu wanatafuta ubuyu so maneno mengine endelea kuyahifadhi tu moyoniNimekumiss nami pia.
Pia usisahau kua mashilawadu wapo humu wanatafuta ubuyu so maneno mengine endelea kuyahifadhi tu moyoniNimekumiss nami pia.
Moyoni tena. Lol. Haya bwana.Pia usisahau kua mashilawadu wapo humu wanatafuta ubuyu so maneno mengine endelea kuyahifadhi tu moyoni
Bwana ni neno ambalo napenda sana kuliskia hasa linapotoka mdomoni mwa opposite sex hahaMoyoni tena. Lol. Haya bwana.
Hahaaa. Umenifanya nicheke mchana huuBwana ni neno ambalo napenda sana kuliskia hasa linapotoka mdomoni mwa opposite sex haha
Huu ni utani wa mchana kweupeHahaaa. Umenifanya nicheke mchana huu
Kweupe kabisa tena, ila inataka moyo. mtebetini nakusalimia..Huu ni utani wa mchana kweupe
Nakusalimia kwa kupunga mkono basi na wewe PungaKweupe kabisa tena, ila inataka moyo. mtebetini nakusalimia..
Punga ndio neno la wapi hili.Nakusalimia kwa kupunga mkono basi na wewe Punga
Hili neno hutumika na watu wa rika zote kama toiPunga ndio neno la wapi hili.
Toi langu zuri nimetoka nalo kolomoje.Hili neno hutumika na watu wa rika zote kama toi
Kolomije kule ambako watu hawana vyeti au unamaanisha ipiToi langu zuri nimetoka nalo kolomoje.
ipi!? si ile atokayo BashiteeKolomije kule ambako watu hawana vyeti au unamaanisha ipi
Bashite yule anayependwa sanaipi!? si ile atokayo Bashitee
Wasiojielewa ndio walivyo hakuna jinsiSana sana anapendwa na wasiojielewa
Nakusalimia kwa kuitikia salama,nashukuru huku kwema hofu kwako.Kweupe kabisa tena, ila inataka moyo. mtebetini nakusalimia..
Zao kazi ni kutoza ushuruMawazo niliyo nayo yanasababishia TRA kibambika kodi kubwa ya majengo tofauti na kauli zao
Mfukoni pesaa hakunaa...!! Magu kabanaa kishenzii..Hofu ⚊ ipo ktk kodi waliopandikiza ili hali sina hela mfukon
Ushuru wa kwenye masoko una uonevu sanaZao kazi ni kutoza ushuru
Sana aiseUshuru wa kwenye masoko una uonevu sana