mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Afya njema ukiwa nayo ni vyema umshukuru Mwenyezi Mungu nami nimeamka salamaMimi sijambo kabisa bukheri wa afya.
Afya njema ukiwa nayo ni vyema umshukuru Mwenyezi Mungu nami nimeamka salamaMimi sijambo kabisa bukheri wa afya.
Salama ni Mke wangu. Hilo usibisheAfya njema ukiwa nayo ni vyema umshukuru Mwenyezi Mungu nami nimeamka salama
Usibishe unapoambiwa ukweli kuhusu matatizo yakoSalama ni Mke wangu. Hilo usibishe
Yako yalishapita sasa yamebaki yanguUsibishe unapoambiwa ukweli kuhusu matatizo yako
Yangu matumaini ni kutwaa ubingwa wa huu mtanange!Yako yalishapita sasa yamebaki yangu
Wote hatujambo japo sina hakika sana mana kuna wengine hawajatokea bado.Yangu matumaini ni kutwaa ubingwa wa huu mtanange!
Habari zenu wote !
Bado miezi, kadhaa mwaka huu kuishaWote hatujambo japo sina hakika sana mana kuna wengine hawajatokea bado.
Kuisha bila kuwa na kitu cha maana tulichokifanya huwa inauma sanaBado miezi, kadhaa mwaka huu kuisha
Sanaa huwa nikijumuika humu huwa napata furaha moyoni mwanguKuisha bila kuwa na kitu cha maana tulichokifanya huwa inauma sana
Christ ni neno la kiingerezaMoyoni mwangu nina furaha....hiki ni kianzio cha wimbo wa waimbaji kutoka rwanda (ambsrsadors of christ)
Kiingereza si cha Waingereza tu hata sisi wenye Kiswahili kinatuhusu!Christ ni neno la kiingereza
Kinatuhusu wote tunaochangia hapa kwa kuwa ni uwanja huruKiingereza si cha Waingereza tu hata sisi wenye Kiswahili kinatuhusu!
Uwanja huru kwetu sote bila kubagua hata mmoja wetuKinatuhusu wote tunaochangia hapa kwa kuwa ni uwanja huru
Wetu uwe ummoja utengano uwe mwiko.Uwanja huru kwetu sote bila kubagua hata mmoja wetu
Mwiko ninao , ila ukiuhitaji naweza kukuazima pia.Wetu uwe ummoja utengano uwe mwiko.
Pia nawaona mnavyojisumbua, mimi nipo naandaa suti yangu kwa ajili ya sherehe za kukabidhiwa tuzoMwiko ninao , ila ukiuhitaji naweza kukuazima pia.
Nimekumiss nami pia.Siwaoni kabisa ila nawe pia nimekumis