Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Kupewa zawadi na mtu usiemfahamu vp utapokeaLive hizo ndio zangu pia kupendeza![]()
. Hahaaa. Ipo siku utaniona live live. Sifa jipe mwenyewe usisubiri kupewa.
Kupewa zawadi na mtu usiemfahamu vp utapokeaLive hizo ndio zangu pia kupendeza![]()
. Hahaaa. Ipo siku utaniona live live. Sifa jipe mwenyewe usisubiri kupewa.
Utapokeaje sasa wakati hujajua hata lengo la hiyo zawadiKupewa zawadi na mtu usiemfahamu vp utapokea
Hiyo zawadi itakuwa na mashaka ni lazima iwe na pay backUtapokeaje sasa wakati hujajua hata lengo la hiyo zawadi
Pay back! Labda maana hata mkwele wa msoga alisema, "ukitaka kula sharti uliwe!!??!"Hiyo zawadi itakuwa na mashaka ni lazima iwe na pay back
Sharti uliwe sidhani kama itaaply kwa emytaPay back! Labda maana hata mkwele wa msoga alisema, "ukitaka kula sharti uliwe!!??!"
Ni emmyta sio emyta kamanda wanguSharti uliwe sidhani kama itaaply kwa emyta
Kamanda wangu niliiona hiyo baada ya kopost pole if I hurt your feelingsNi emmyta sio emyta kamanda wangu
Bangi tena humu! Hilo litakupeleka ufungwe BangiliFeelings zangu huenda mbali sana nikivuta bangi
Bangilii ni mambo ya wahengaaBangi tena humu! Hilo litakupeleka ufungwe Bangili
Wahenga ni watu wa zamani waliopitaBangilii ni mambo ya wahengaa
Waliopita Minaki Sec tukutane hapaWahenga ni watu wa zamani waliopita
Hapa wanakutana watu wa rika,kada, na idea tofauti tofauti sio wa minaki peke yaoWaliopita Minaki Sec tukutane hapa
Bahari haikai na uchafuPeke yao niliwaacha pembezoni ya bahari
Tusaidiane kujua hali za wenzetu humu ndaniTishu inatengenezwa kwa kutumia malighafi gani?tusaidiane
Mimi sijambo kabisa bukheri wa afya.Humu jamani mshindi mimi.