Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,477
Yote yanawezekana chini ya juaMungu ndiye muweza wa yote
Yote yanawezekana chini ya juaMungu ndiye muweza wa yote
Duniani ni sehemu ya kufanyia fujo kisha unajiondokea zako...Jua ni chanzo cha nishati yote duniani.
Yako na mimi yanguZako zote peke yako
yangu ni kubwa kuliko yakoYako na mimi yangu
Yako hainifai mi kibonge sanayangu ni kubwa kuliko yako
Sana ndo nzuri coz haiboiYako hainifai mi kibonge sana
Kiasi gani ndio kitakutosha we sema tuSana kiasi gani?
Sema tu we unapenda vitu vidogo ndo maana mimi nimetuliaKiasi gani ndio kitakutosha we sema tu
Nimetulia tu hapa nakuangalia unavyonidanganya kama kweli vileSema tu we unapenda vitu vidogo ndo maana mimi nimetulia
Kweli vile ila wewe unahisi kama unadanganyaNimetulia tu hapa nakuangalia unavyonidanganya kama kweli vile
Unadanganya kumnunulia gari wakati wewe hata baiskeli huna...Kweli vile ila wewe unahisi kama unadanganya
Huna gari kweli ukanipa lift sema tu ukweli.Unadanganya kumnunulia gari wakati wewe hata baiskeli huna...
Ukweli ni kwamba ukiwaona utashangaa sana, maana hawafanani na yale wanayozungumza...Huna gari kweli ukanipa lift sema tu ukweli.
Wanayozungumzia hata sikuyaelewa ujueUkweli ni kwamba ukiwaona utashangaa sana, maana hawafanani na yale wanayozungumza...
Ujue hiyo avatar yako inachanganya watu akili...Wanayozungumzia hata sikuyaelewa ujue
Akili ndio kila kitu. Hahaa! Inachanganya na nini tena..Ujue hiyo avatar yako inachanganya watu akili...
Tena ukiongezea na hilo tabasamu waanajikuta wanatoa ahadi kibao...Akili ndio kila kitu. Hahaa! Inachanganya na nini tena..
Ahadi kibao huwa siziamini mana naona kama nadanganywa vileTena ukiongezea na hilo tabasamu waanajikuta wanatoa ahadi kibao...
Vile jinsi ulivyopendeza sipati picha ningekuona liveAhadi kibao huwa siziamini mana naona kama nadanganywa vile
Live hizo ndio zangu pia kupendezaVile jinsi ulivyopendeza sipati picha ningekuona live
. Hahaaa. Ipo siku utaniona live live. Sifa jipe mwenyewe usisubiri kupewa.