Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,121
- 122,551
Eeh, ndio nilikuwa nazo mimi na nilijua tu lazima utakuja na nitakufikisha moja kwa mojaMaana yake salamu zangu kumbe ulikuwa nazo eeh?
Eeh, ndio nilikuwa nazo mimi na nilijua tu lazima utakuja na nitakufikisha moja kwa mojaMaana yake salamu zangu kumbe ulikuwa nazo eeh?
Eeh kumbe kumekuchaMaana yake salamu zangu kumbe ulikuwa nazo eeh?
Kumekucha dingi mtoto. Hebu siku moja jiweke mzima nami nikuone bana. Mzima weye.Eeh kumbe kumekucha
Weye usijal kwa hilo, vuta subiraWeye leiguanan weye!
Subira yavuta heriWeye usijal kwa hilo, vuta subira
Heri wenye moyo safiSubira yavuta heri
Spicie yako wewe ni ipiSafina ya Nuhu ilikua na kila aina ya kiumbe.
Wawili wawili,jike na dume kwa kila specie.
Homosapiens ni hominids au nimechanganya desaNi ipi!!
Si ni Homosapiens
Desa ndio nini james. Niambie mi sijuiHomosapiens ni hominids au nimechanganya desa
Sijui kwanini mmeshindwa kuachana na mashindano haya ili nichukue ushindi wangu...Desa ndio nini james. Niambie mi sijui
Wangu mimi ndio unanifaa niachie basiSijui kwanini mmeshindwa kuachana na mashindano haya ili nichukue ushindi wangu...
Basi nimekubali, nitaishia kusoma signature yako...Wangu mimi ndio unanifaa niachie basi
Yako hivi inasemaje mana yangu ina ukweli kwa asilimia mia moja.Basi nimekubali, nitaishia kusoma signature yako...
Moja ndio mwanzo wa kutimiza mia, yangu inasema siwezi kuishi kwa kuigiza...Yako hivi inasemaje mana yangu ina ukweli kwa asilimia mia moja.
Kuigiza ndio imezoeleka kwa walio wengi. Ila kama unalijua hiloMoja ndio mwanzo wa kutimiza mia, yangu inasema siwezi kuishi kwa kuigiza...
sana sana.
Kipaji kama changu ni tunu kutoka kwa Mungu...Kuigiza ni kazi inayohitaji kipaji
Sana inamaanisha kuzidi kiasi...Kuigiza ndio imezoeleka kwa walio wengi. Ila kama unalijua hilo![]()
sana sana.