veeswt
Senior Member
- Jan 26, 2017
- 167
- 324
Eti jamani ni kwa nini huu mchezo hauishiTutafurahi akimtaja si eti...
Eti jamani ni kwa nini huu mchezo hauishiTutafurahi akimtaja si eti...
Hauishi nani kasema? Mimi ndie mshindiEti jamani ni kwa nini huu mchezo hauishi
Mshindi ni emmyta,over.Hauishi nani kasema? Mimi ndie mshindi
Over and over again no more playing. Mshindi kashapatikanwa ni EmmytaMshindi ni emmyta,over.

Kudeclare nimeshadeclare mm on behalf of her as my lovely sisEmmyta mwenyewe angekuja kudeclare

ni ka emoji kazuri sana hasa........Hasa unapotaka kulala usingizi mtamu akati kesho jtatu..inaboa sanaani ka emoji kazuri sana hasa........
Sanaa ya siku hizi hainifurahishiHasa unapotaka kulala usingizi mtamu akati kesho jtatu..inaboa sanaa
Hainifurahishi mi pia. Nakusalimu james umesalimika...Sanaa ya siku hizi hainifurahishi
Na nini. Amesalimika kwenda Dodoma ndio namaanisha. Mzima wewe.....James umesalimika na nini??
emmyta hajambo bukheri wa afya.Wewe mwenyewe mzina emmyta?
Emmyta ndiyo mwenyewe unamsalimia? NimekununiaWewe mwenyewe mzina emmyta?
Nimekununia leiguanan kwa kutaka nisisalimiwe. Haya we mzima?Emmyta ndiyo mwenyewe unamsalimia? Nimekununia
Mzima saana. Sijakataa usisalimiwe ila kwanini hajanisalimia na mimi?Nimekununia leiguanan kwa kutaka nisisalimiwe. Haya we mzima?
Mimi nilimwambia nitakusalimia ndio maana....Mzima saana. Sijakataa usisalimiwe ila kwanini hajanisalimia na mimi?
Maana yake salamu zangu kumbe ulikuwa nazo eeh?Mimi nilimwambia nitakusalimia ndio maana....