James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
Hakuna namna ya kumpa ushindi mpaka atuambie anaenda na thatis wapi?Inatosha kwa kweli..muanzisha uzi aje kutoa tuzo.
I propose emmyta apewe tu hakuna namna.
Hakuna namna ya kumpa ushindi mpaka atuambie anaenda na thatis wapi?Inatosha kwa kweli..muanzisha uzi aje kutoa tuzo.
I propose emmyta apewe tu hakuna namna.
Sabasaba hii sijui kama itanogaWapi naweza enda kwa ajili ya mapumziko siku ya sabasaba??![]()
Itanoga tu , tutaenda kushangaa hatutonunua vituSabasaba hii sijui kama itanoga
Vipya vitakuepo kikubwa ni wewe tu uwepo wakoVitu vyenyewe sijui kama vitakuwepo vipya.
Watu wamekua hawana imaniWako umemuweka ndan umanyatia wa watu
Imani imeondoka kabisa. Mwenzio kule kwa likes huwa kunanishinda naona mvurugano tu...Watu wamekua hawana imani
Yasioonekana pia yapo hapa JF. Hivi wewe me au ke mama yeyoo?Imani ni kua na hakika na mambo yajayo na ni bayana ya mambo yasioonekana.
Yeyoo!! Dude linataka kuamshwaYasioonekana pia yapo hapa JF. Hivi wewe me au ke mama yeyoo?
Kuamshwa dude mida hii. Duuh. Hatari hii..Yeyoo!! Dude linataka kuamshwa
Tuambie unaenda wapi na thatis acha kutuzuga Emmyta....Imani imeondoka kabisa. Mwenzio kule kwa likes huwa kunanishinda naona mvurugano tu...
Hii dunia ina vituko. I wish I kudu be Moderator yn kuna watu wangekula ban ya maishaKuamshwa dude mida hii. Duuh. Hatari hii..



Hii dunia ina vituko. I wish I kudu be Moderator yn kuna watu wangekula ban ya maisha![]()
ungeanza na nani, mtaje tu usiogope...Tutafurahi akimtaja si eti...Usiogope mtaje tu