James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
Subira yangu ndo iloniponza...Ipasavyo tuvute subira
Subira yangu ndo iloniponza...Ipasavyo tuvute subira
Iloniponza ni hali yangu ya kupenda kuchunguza na kujua anachotembelea nyoka!Subira yangu ndo iloniponza...
Nyoka moja kwa moja na hiyo barabara itakufikishaIloniponza ni hali yangu ya kupenda kuchunguza na kujua anachotembelea nyoka!
itakufikisha utamuni na kuridhika ukiitafuna kwa madahaNyoka moja kwa moja na hiyo barabara itakufikisha
Madaha ni mwendo wa maringoitakufikisha utamuni na kuridhika ukiitafuna kwa madaha
Maringo ni kijiji kinachofahamika kwa uuzwaji wa mdafuMadaha ni mwendo wa maringo
Oyooooooooookokooooooooo ndo kutaka kuwika au?Gani niga oyooooooooookokooooooooo
Oyoooooooookooookoooo ndio nini sasa. Jamani wadau nimerudi mchezoni. Wazima nyie humu.....Au kama vp tuirudie tena oyoooooooooooookooookoooooooo
Humu ndani wengi waongooOyoooooooookooookoooo ndio nini sasa. Jamani wadau nimerudi mchezoni. Wazima nyie humu.....
Waongo ni wale wa kule kwa mechi iliyochezwa mda mrefu zaidi duniani!Humu ndani wengi waongoo
Humu ni wazima pole na majukumu emmyOyoooooooookooookoooo ndio nini sasa. Jamani wadau nimerudi mchezoni. Wazima nyie humu.....
Duniani kuna vituko.Waongo ni wale wa kule kwa mechi iliyochezwa mda mrefu zaidi duniani!
Vituko ni pale mtumbuaji anaposhindwa kumtumbua so known as "mwanangu mpendwa"Duniani kuna vituko.
"Mwanangu mpendwa" ndio anavyomuita kumbe, ila anampa kichwa sanaVituko ni pale mtumbuaji anaposhindwa kumtumbua so known as "mwanangu mpendwa"
Sana sana tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama"Mwanangu mpendwa" ndio anavyomuita kumbe, ila anampa kichwa sana
Salama salmini na kwangu pia. Wengine bado wamelala saa hizi..Sana sana tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama
Saa hizi ilibidi wawe wameamka wanachangamsha mwili, wengine wawahi kwa ibada kama mimi.Salama salmini na kwangu pia. Wengine bado wamelala saa hizi..