Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,711
Kifimbocheza alipostaafu alimwachia yeye majukumu...Kuchukia kwa kweli hapana, unaongelea yule anaefanya kazi za kifimbocheza
Kifimbocheza alipostaafu alimwachia yeye majukumu...Kuchukia kwa kweli hapana, unaongelea yule anaefanya kazi za kifimbocheza
Majukumu ya mwanaume ni kutafuta pesaa tuuu...!! Kumridhisha msichana kihereheree...Kifimbocheza alipostaafu alimwachia yeye majukumu...
Kiherehere ndicho kinachosababisha wanafunzi wa kike kudungwa mimba! Kuna ukweli hapo?...Majukumu ya mwanaume ni kutafuta pesaa tuuu...!! Kumridhisha msichana kihereheree...
Hapo kwenye avatar yako kama unashangaa kitu vile!!Kiherehere ndicho kinachosababisha wanafunzi wa kike kudungwa mimba! Kuna ukweli hapo?...
vile unaonavyo ni tofauti na nilivyo, nipo kwenye tafakuri jinsi ya kushinda hili gemu...Hapo kwenye avatar yako kama unashangaa kitu vile!!
Gemu hili haliishi leo bado lina masafa marefu ya kwenda!vile unaonavyo ni tofauti na nilivyo, nipo kwenye tafakuri jinsi ya kushinda hili gemu...
Mkuu ni nani?Kwenda wapi mkuu?
Nani hajaniita kwenye mashindano ambaye anauchu wa ushindi kuzidi mimi?Mkuu ni nani?
Mimi hapaNani hajaniita kwenye mashindano ambaye anauchu wa ushindi kuzidi mimi?
Hapa siwaelewi kabisa, kwa nini mnang'ang'ania jambo ambalo hamuliwezi?Mimi hapa
Hamliwezi kwa sababu mshindi tayari nimekwisha patikana...Hapa siwaelewi kabisa, kwa nini mnang'ang'ania jambo ambalo hamuliwezi?
Patikana kwa tuhuma za kutembea na mke wa mtuHamliwezi kwa sababu mshindi tayari nimekwisha patikana...
Mtu mwenyew ni Yule anaye-wish he kudu be IGP.Patikana kwa tuhuma za kutembea na mke wa mtu
IGP aliyeondolewa au huyu aliyepo?...Mtu mwenyew ni Yule anaye-wish he kudu be IGP.
Aliyepo kashikwa pabaya na sakata la kibitiIGP aliyeondolewa au huyu aliyepo?...
Kibiti si tuliaminishwa kuwa wameanza kukiona..Aliyepo kashikwa pabaya na sakata la kibiti
Kukiona kitu kwa kutumia macho pekee haiwezi kusaidi ipasavyoKibiti si tuliaminishwa kuwa wameanza kukiona..
Ipasavyo tuvute subiraKukiona kitu kwa kutumia macho pekee haiwezi kusaidi ipasavyo