Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,121
- 122,545
Ngwena ndio nini mi mbona sijui..Magoti yenyewe yamekomaa kama ya ngozi ya ngwena
Ngwena ndio nini mi mbona sijui..Magoti yenyewe yamekomaa kama ya ngozi ya ngwena
Sijui utakuwa wa bara ? Yaani haujui ngwena ni mamba basiNgwena ndio nini mi mbona sijui..
Sijui hata mm nashangaaNgwena ndio nini mi mbona sijui..
Basi nimekuelewa hapo mana uliniacha mbali mnoSijui utakuwa wa bara ? Yaani haujui ngwena ni mamba basi
Mbali mno alisema emmytaBasi nimekuelewa hapo mana uliniacha mbali mno
emmyta mzima wwMbali mno alisema emmyta
Wewe kwa hiyo lengo nisikuqoute akuqoute huyoemmyta mzima ww
Huyo nani. Mzado mo sijambo sijui wewe..Wewe kwa hiyo lengo nisikuqoute akuqoute huyo
Katuchosha kwa lipi joo?Huyo naye katuchosha
Jooh huu mchezo hauhitaji....Katuchosha kwa lipi joo?
.... .....Jooh huu mchezo hauhitaji....
Haijakamilika kama hivi mimi naiendeleza..... Hizi ni alama zinazoonyesha kuwa sentence haijakamilika
Naendeleza tamaduni na mila za wahengaa wetuuHaijakamilika kama hivi mimi naiendeleza
Wahenga wetu waliona mbali sana mana karibia kauli zao zote zina maana kubwa mnoNaendeleza tamaduni na mila za wahengaa wetuu
Kiswahili ni lugha nayoMno ni neno la kiswahili?
Nayo ni lugha kama lugha nyingineKiswahili ni lugha nayo