mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Pua kubwa haimaanishi unamaliza hewamzima kama chuma cha pua...
Pua kubwa haimaanishi unamaliza hewamzima kama chuma cha pua...
Hewa ni kitu kinginePua kubwa haimaanishi unamaliza hewa
kingine sikioni, ila hapa ni mimi na wewe ndio washindi...Hewa ni kitu kingine
Kabisa bro yani washindi wa jumla ndio sisi.kingine sikioni, ila hapa ni mimi na wewe ndio washindi...
sisi ndio sisi, wengine hawatuwezi...Kabisa bro yani washindi wa jumla ndio sisi.
Hawatuwezi kabisa maana tumejipanga kwa kila namna kukabiliana naosisi ndio sisi, wengine hawatuwezi...
nao wanajua kuwa ngoma ya kitoto haikeshi...Hawatuwezi kabisa maana tumejipanga kwa kila namna kukabiliana nao
HILUKA kumbuka, Simba mwendapole ndiye...Haikeshi kwa nini mkuu BISHOP HILUKA
Ndiye mla nyamaHILUKA kumbuka, Simba mwendapole ndiye...
Wewe unaonekana huishi nchi hiiLol sijawahi kumuona msichana mzuri kama wewe
Hii ni ishara kwamba uzuri wa mtu uko machoni kwa mtuWewe unaonekana huishi nchi hii
Yanacho kiona macho ndio ukipende, usije uziwa mbuzi kwenye guniaMtu mwenye upendo wa kweli anapenda kutoka moyoni sio macho yake yanachokiona.
Halisimami wala halichuchumai...Gunia tupu halisimami
Halichuchumai sababu halina magotiHalisimami wala halichuchumai...
Magoti yenyewe yamekomaa kama ya ngozi ya ngwenaHalichuchumai sababu halina magoti