Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
Viungo vya pilau vinanukiaga jomoniChai yenye kuungwa viungo
Viungo vya pilau vinanukiaga jomoniChai yenye kuungwa viungo
Jomoni, kuiandaa pilau yenyewe wajua lakini?Viungo vya pilau vinanukiaga jomoni
lakini kuna vitu vanshindaa kwa kweli kwenye kuiandaaJomoni, kuiandaa pilau yenyewe wajua lakini?
Kuiandaa yupo mwalim emmyta atakufundishalakini kuna vitu vanshindaa kwa kweli kwenye kuiandaa
atakugundisha na wewe kupika Bryan la kukuKuiandaa yupo mwalim emmyta atakufundisha
Biriani la kuku! Ila nawe jakitoo jitahidi kuweka sawa herufi, hilo biriani ukipika wewe inatosha.atakugundisha na wewe kupika Bryan la kuku
Inatosha kuwapikia na kuwaonjesha kwanza halafu darasa baadaeBiriani la kuku! Ila nawe jakitoo jitahidi kuweka sawa herufi, hilo biriani ukipika wewe inatosha.
Inatosha kuwapikia na kuwaonjesha kwanza halafu darasa baadae
Kunibakishia wanapenda sana. Ila hii nitapika mwenyewe my dear ili nawe nipate kukubakishia rafikibaadae dia ukipika biriani usisahau kunibakishia
Rafiki umenitupa au iddi imekubanaKunibakishia wanapenda sana. Ila hii nitapika mwenyewe my dear ili nawe nipate kukubakishia rafiki
Imekubana weye mana hata kwenye whatsapp sikupati. Niambie rafiki mzima weye....Rafiki umenitupa au iddi imekubana
Weye unaniongopea bhana!! Me cjambo dear, nilijua umeenda Kibiti kwa ajili ya iddiImekubana weye mana hata kwenye whatsapp sikupati. Niambie rafiki mzima weye....
Iddi nimeilia hapa nyumbani sikwenda huko si unajua hali ya kule unadhani tungefurahia idd kweli. Mambo mengine vipi?Weye unaniongopea bhana!! Me cjambo dear, nilijua umeenda Kibiti kwa ajili ya iddi
mzima wa afya japo mwenyewe hajajibu...Emmyta hajambo bukheri wa afya rafiki sijui wewe veeswt mzima...
Hajajibu kwa sababu itakuwa anapika cha jioni. Sio mbaya mkuu. Vp nawe mzima..mzima wa afya japo mwenyewe hajajibu...
mzima kama chuma cha pua...Hajajibu kwa sababu itakuwa anapika cha jioni. Sio mbaya mkuu. Vp nawe mzima..
Chuma cha pua hata sikujui ujue..mzima kama chuma cha pua...