mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Rahisi kumsukuma mleviKuitikisa si kazi rahisi
Rahisi kumsukuma mleviKuitikisa si kazi rahisi
Hizi ni patashika nguo kuchanikaGbefa yupo wapi siku hizi?
Bwana umetuharibia mwendelezo wetu mkuuhivi nyie watu mnaokoment mwendelezo wa huu uzi mpka lini.
.
ha ha ha wa mwisho unahis atakuwa nani na ni lini
.?? move nyingine bwana
Mkuu unahabari kuwa emmyta kapigwa ban?Bwana umetuharibia mwendelezo wetu mkuu
Nn tena kimemkuta emmyta wetu jamani?Mkuu emmyta wamembann kwa nn tena?
Wetu kipenzi mjuzi wa lugha na mcheshi kwetu sisiJaman mods turudishieni emmyta wetu.![]()
Hawajalisoma sababu hata huo mtaala siku hizi hakunaHaiba na michezo ni somo la enzi hizo vijana wa 90's hawajalisoma.
Walay bora kupenda mtoto mzuri kama weweHakuna marefu yasio na ncha walay
Wewe unachunwa mi' namega kiselaWalay bora kupenda mtoto mzuri kama wewe
Kisela utakuwa hufanyi poa arifuuWewe unachunwa mi' namega kisela
Arifuu ndio nini? Rekebisha lugha mdau kabla FaizeFix hajakufanyiziaKisela utakuwa hufanyi poa arifuu