leiguanan
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 618
- 1,905
Hajakufanyizia wewe? Naskia wewe ndiye mbeba box wa MakapukuArifuu ndio nini? Rekebisha lugha mdau kabla FaizeFix hajakufanyizia
Hajakufanyizia wewe? Naskia wewe ndiye mbeba box wa MakapukuArifuu ndio nini? Rekebisha lugha mdau kabla FaizeFix hajakufanyizia
Lake is a English noun in Swahili word it namely as " ziwa "Hajakufanyizia na wewe pia kwakuchapia jina lake?
Afrika ni bara ambalo asilimia kubwa lipo nyuma kwa maendeleo ya uchumi, kijamii, na siasa.Ziwa Victoria ni kubwa kuliko maziwa yote Afrika
Siasa za afrika zinachosha kisenge!!Afrika ni bara ambalo asilimia kubwa lipo nyuma kwa maendeleo ya uchumi, kijamii, na siasa.
Yanayoizunguka Jamii Forum ni mengi sana, mazuri na mabayaJamii bora ni ile inayoheshimu mazingira yanayoizunguka
Wazawa mmekengeuka hasa nyie wa huu uziMazingira yanayoizunguka yanaweza pia kuharibu tabia za wazawa.
Nyeusi ni Rangi ya waafrika. Wanatufananisha na nyani eti ni kweli?Uzi mzuri kushonea nguo nyeusi ni ule wa rang nyeusi
Kweli kabisa nilikuona pale asubuhi ukikatisha barabara, ulikuwa unaenda wapi?Nyeusi ni Rangi ya waafrika. Wanatufananisha na nyani eti ni kweli?
Wapi wewe, na umri uliyofikia bado haujaacha fix zakoKweli kabisa nilikuona pale asubuhi ukikatisha barabara, ulikuwa unaenda wapi?
Nyumbani ni nyumbani hatakama ni kichakaniWapi naweza kupata mashuka mazuri foronya na maua kwa ajili ya mapambo ya nyumbani?
Kichakani kwenu wewe ni Nyumbani. Ukitaka mashuka mazuri nifuate inbox ila lazima nikutongoze kwanzaNyumbani ni nyumbani hatakama ni kichakani
Kwanza huna heshima na hujui buasharaKichakani kwenu wewe ni Nyumbani. Ukitaka mashuka mazuri nifuate inbox ila lazima nikutongoze kwanza