bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Wewe je, umezikuta au umekuja nazo?Maneno ndio hayo sasa japokuwa unasema umezaliwa kabla ya ujio wa kompyuta. Hatari sana wewe.
Wewe je, umezikuta au umekuja nazo?Maneno ndio hayo sasa japokuwa unasema umezaliwa kabla ya ujio wa kompyuta. Hatari sana wewe.
Nazo nazipenda sana japokuwa nimezikuta.Wewe je, umezikuta au umekuja nazo?
Nimezikuta chungwa Kariakoo za kutoka Tanga, tamu hizo...!Nazo nazipenda sana japokuwa nimezikuta.
Hizo ndio za kwetu huwa zinafaa sana kwa juiceNimezikuta chungwa Kariakoo za kutoka Tanga, tamu hizo...!
Juice ya chungwa, ikoje hiyo!Hizo ndio za kwetu huwa zinafaa sana kwa juice
hiuo avatari yako mimi mbavu sinaJuice ya chungwa, ikoje hiyo!
Sina habari kama umeshaamka. Mambo vipi..hiuo avatari yako mimi mbavu sina
Sina neno ila kwa avatar yako jakitoo waniacha kinywa wazi kwamba kitambaa hakikutosha!hiuo avatari yako mimi mbavu sina
Vipi kuhusu wewe na familia hamjambo?Sina habari kama umeshaamka. Mambo vipi..
My dear Sisi wazima wa afya. Namuona bbc na avatar yakeVipi kuhusu wewe na familia hamjambo?
safi kabisa my dear
Yake avatar umeiona? Basi sisi kwetu mimi ndo handsome kuliko wote!My dear Sisi wazima wa afya. Namuona bbc na avatar yake
Wote umewazidi lol. Hongera sana.Yake avatar umeiona? Basi sisi kwetu mimi ndo handsome kuliko wote!
Sana sana bbc anapendelea kucheka maana si kwa kunenua hukoWote umewazidi lol. Hongera sana.
Huko kukenua sio mchezo. Ndio hivyo kafurahi pale eti kisa ni ijumaaSana sana bbc anapendelea kucheka maana si kwa kunenua huko
Ijumaa siku zote ni ya furaha!Huko kukenua sio mchezo. Ndio hivyo kafurahi pale eti kisa ni ijumaa
Furaha ni jina nilipendalo mnoIjumaa siku zote ni ya furaha!
Mnono usingizi ni ule wa weekend baada ya kunywa chai.Furaha ni jina nilipendalo mno
Chai yenye kuungwa viungoMnono usingizi ni ule wa weekend baada ya kunywa chai.
Viungo hivyo hufanya chai kuwa ni yenye kunukia sanaChai yenye kuungwa viungo