Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Bahati mbaya haina mwenyeweMbaya kufa maskini, hatakama bongo bahati mbaya
Bahati mbaya haina mwenyeweMbaya kufa maskini, hatakama bongo bahati mbaya
Mbaya zaidi hiyo mianya ya kutafuta utajiri haipo tena,hatutakufa na njaa ila kufa maskini hakuepukikiMbaya kufa maskini, hatakama bongo bahati mbaya
Hakuepukiki kama usipofanya jituma kwa bidiiMbaya zaidi hiyo mianya ya kutafuta utajiri haipo tena,hatutakufa na njaa ila kufa maskini hakuepukiki
Bidii na kujituma zinasaidia kama network za hela zipo, ila kila sehemu kumeminywa unadhani utatokaje? nimemkumbuka daddy KikweteHakuepukiki kama usipofanya jituma kwa bidii
Kikwete amepita na zama zake, kama unadhani sehemu kumeminywa subiri 2020 usaidie mabadilikoBidii na kujituma zinasaidia kama network za hela zipo, ila kila sehemu kumeminywa unadhani utatokaje? nimemkumbuka daddy Kikwete
Mabadiliko hayawez kutokea bila kufanya kazi kwa bidiiKikwete amepita na zama zake, kama unadhani sehemu kumeminywa subiri 2020 usaidie mabadiliko
Bidii kama ya Rais wetu mpendwaMabadiliko hayawez kutokea bila kufanya kazi kwa bidii
Bidii ndio silaha ya mafanikioMabadiliko hayawez kutokea bila kufanya kazi kwa bidii
Mafanikio ya mtu huhitaji nidhamu na bidii katika kaziBidii ndio silaha ya mafanikio
Kazi kuifanya kwa ufanisi inahitaji uzoefu na weledi mkubwaMafanikio ya mtu huhitaji nidhamu na bidii katika kazi
Mkubwa wewe sasa uzofu ndiyo nini?Kazi kuifanya kwa ufanisi inahitaji uzofu na weledi mkubwa
Nini mpyaMkubwa wewe sasa uzofu ndiyo nini?
Mpya ile simu anayoitumia kwa sasaNini mpya
Sasa nani anayeitumia hiyo simu mpyaMpya ile simu anayoitumia kwa sasa
Simu mpya si wewe bbc london au umeshajishahau. Daah kumbe we mzee sana...Sasa nani anayeitumia hiyo simu mpya
Sana, bbc ni born before computers na siyo BBC!Simu mpya si wewe bbc london au umeshajishahau. Daah kumbe we mzee sana...
BBC hii hapa basi nilijua ndio unavyomaanisha. Usijali basiSana, bbc ni born before computers na siyo BBC!
Basi hapana maneno!BBC hii hapa basi nilijua ndio unavyomaanisha. Usijali basi
Maneno ndio hayo sasa japokuwa unasema umezaliwa kabla ya ujio wa kompyuta. Hatari sana wewe.Basi hapana maneno!